Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba

Vijana wenu wana akili mbovu,unanunuaje mwanamke?hadi london dogo kuna makahaba tena katkat ya jiji wew unazungumza nni?
Lazima tutawatokomeza.
haiwezekani wanawake wajidhaliloshe kwa kuuza miili yao. tutakomesha huu ushenzi.
waenda vijijini wakalime sio kuwaambukiza vijana VVU.
 
Watoto shuleni hawana madawati mnahangaika na raia wema?
Haya, mkishawakamata mtawafanyaje? Na wateja wao mnewapa njia gani ya kupunguza nyege?
Kumbuka nyege Ni ugonjwa unao hitaji tiba fasta.
Ama ndio mnataka wanetuwabakwe?
 
Cha ajabu ni kwamba hawa makahaba waliokamatwa walikuwa na vichupa vya mafuta ya nazi na tube flani nyingi sana, nikasema wanawake wanapenda urembo hata wakiwa wamejipanga barabaŕani
 
Fuateni nyayo za Makonda pale Arusha anapambana na wakurugenzi wanatuibia kodi zetu,mnahangaika na Machangu ambao ukimwi unawatafuta?
 
Hongera sana Mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kudhamiria kutokomeza biashara haramu ya kuuza mili.
Leo hii tarehe 6/06/2024 Mkuu wa wilaya amekamata jumla ya madada poa 20 wakiwemo wateja wa biashara hiyo.

Tunaomba moto huu usipoe, bado maeneo ni mengi sana, sisi wananchi tutafichua vichaka vyote.

Chanzo ni chanel ten habari sa 1 usiku leo hii tarehe 06/06/2024

Ukiangalia wasichana na wamama walio kamatwa utabaki kinywa wazi.

Pamoja na kuwakamata, dawa pia ni kuvunja madanguro yote lakini pia kuwapiga picha makahaba wote na picha sura zao kisha zionyeshwe kwenye tv na mitandao ya kijamii.
Mbona wewe hizo picha za makahaba hujaziweka hapa?
 
Mbona mashoga hawazungumzii, atakuwa anawapenda nini?
 
Biashara hiyo ndio biashara kongwe Kati ya biashara zote Duniani. Labda atafanikiwa, ngoja tuone!
Bidhaa tamu kuliko zote duniani ni mbunye/papuchi/mbususu! Ndo maana kuizuia ni ngumu!
Ni kama jani la rastafarian jaaah!
 
Hiyo ndo kazi anayoweza??? sasa ukuu wa wilaya si wangepewa mmoja wa hao makahaba mana ye angekuwa na mbinu nzuri zaidi kutokana na kuijua hiyo kazi vyema...😨😨
Ni ujinga kusifia kila kitu sasa hiyo kazi si ni ya mgambo 🤣🤣🤣🤣
 
Njia pekee ya kukomesha ukahaba ni kushughulika na wateja siyo wauzaji.
Wavivu wa kufikiri mnajikita kwa wauzaji badala ya wanunuzi.

Bure kabisa!
Japo unapo taka kuuza bidhaa Yako ni lazima uwambie watu hata Kwa matangazo, (read me read me and buy me buy me), nisome Mimi nisome Mimi, (niangalie), ninunue ninunue hahaha 🤣 Ndiyo maana wanajiachia
 
Na kwann nchi iendeshwe kama genge la wahuni? Hakuna organisation? Mtu mmoja anaamka na mihemko yake anaanzisha opesheni isiyo na kichwa wala miguu, wakati huo wilaya zinazomzunguka kama kinondoni, temeke na ilala watu wakiendelea kuuziana mbususu bila shida.
Na kwann tunakuwa wanafiki? Hizo nyumba za kulala wageni walizovamia, mbali na kuchangia mapato serikalini, nani asiyejua kuwa wateja wao wakubwa ni wafanya ngono haramu? Usikute miongoni mwa task force ni wateja wakubwa wa ngono. Sasa tunamdanganya nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom