Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba

Pamoja na kuwakamata, dawa pia ni kuvunja madanguro yote lakini pia kuwapiga picha makahaba wote na picha sura zao kisha zionyeshwe kwenye tv na mitandao ya kijamii.
Hapo utasaidia kuwatangazia biashara yao tu. Hao wadada washajizima data kichwani, hawana aibu wala hawajali mambo ya maadili
 
Hawezi kuikomesha biashara hii! Ni Mfupa uliomshinda Fisi!
Nadhani kwa vizazi vinavyokuja Serikali italazimika kuitambua!
Kinachotakiwa ni serikali kutengeneza mazingira yatakayowezesha biashara hii kufanyika bila kuathiri jamii.
 
Ahsante kwa taarifa.hakuna chaka litakalo baki.
tuendelee kufichua maeneo yote, iwe ni kwenye mabaa au hata kwenye nyumba za kupanga.
Huyo mkuu wa wilaya fala sana. Barabara za mpiji magoe zinasumbua huko ye anahangaika na watu wanautumia miili yao. Hivi Ubungo kuna umalaya kushinda Ilala, Kinondoni?
Mwambieni atulize makalio yake.
 
Hongera sana Mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kudhamiria kutokomeza biashara haramu ya kuuza mili.
Leo hii tarehe 6/06/2024 Mkuu wa wilaya amekamata jumla ya madada poa 20 wakiwemo wateja wa biashara hiyo.

Tunaomba moto huu usipoe, bado maeneo ni mengi sana, sisi wananchi tutafichua vichaka vyote.

Chanzo ni chanel ten habari sa 1 usiku leo hii tarehe 06/06/2024

Ukiangalia wasichana na wamama walio kamatwa utabaki kinywa wazi.

Pamoja na kuwakamata, dawa pia ni kuvunja madanguro yote lakini pia kuwapiga picha makahaba wote na picha sura zao kisha zionyeshwe kwenye tv na mitandao ya kijamii.
Huyu jamaa anajitafutia ugomvi na wabunge sasa pamoja na viongozi wengine serikalini, shauri yake. Yeye anataka hawa viongozi waende kujivinjali wapi na machangu wao?
 
Tunalalamika idadi ndogo ya watalii wakati fursa za kuvuta watalii ndio hizo.
Uliza Thailand huko watalii ni wengi kwa ajili ya kufuata hiyo biashara.
Badala ya kukimbizana nao hivyo ni bora kuwatengenezea mazingira bora na salama kwao na jamii inayowazunguka...unamkamata au kumkataza bila kumpatia mbadala wa kitu cha kufanya.
Mfano pale Riverside biashara za bar na vyakula zimeshamiri sabb ya hao wadudu watu wengi wanaingia pande zile
 
Hawawezi hao,Walipishwe tu kodi ijulikane moja
Lazima tutawatokomeza.
haiwezekani wanawake wajidhaliloshe kwa kuuza miili yao. tutakomesha huu ushenzi.
waenda vijijini wakalime sio kuwaambukiza vijana VVU.
 
Back
Top Bottom