Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba

Mkuu wa wilaya ya Ubungo Hassan Bomboko usiku wa kuamkia jana alishutukiza katika moja ya sehemu ya Daguro kubwa la kujiuza eneo la Ubungo Riverside na kuagiza baadhi ya bar maeneo hayo kufungwa mpaka pale zitakapo fuata utaratibu unaotakiwa

Vipi mdau je hii ni njia sahihi ya kupunguza madaguro na madada powa katika maeneo mengi Nchini?
Kachemka dc bar zzinavibali vyoteee huyo katumwa na bar za karibu kuwaaharibia
 
Tunalalamika idadi ndogo ya watalii wakati fursa za kuvuta watalii ndio hizo.
Uliza Thailand huko watalii ni wengi kwa ajili ya kufuata hiyo biashara.
Badala ya kukimbizana nao hivyo ni bora kuwatengenezea mazingira bora na salama kwao na jamii inayowazunguka...unamkamata au kumkataza bila kumpatia mbadala wa kitu cha kufanya.
 
Mkuu wa wilaya ya Ubungo Hassan Bomboko usiku wa kuamkia jana alishutukiza katika moja ya sehemu ya Daguro kubwa la kujiuza eneo la Ubungo Riverside na kuagiza baadhi ya bar maeneo hayo kufungwa mpaka pale zitakapo fuata utaratibu unaotakiwa

Vipi mdau je hii ni njia sahihi ya kupunguza madaguro na madada powa katika maeneo mengi Nchini?
Wanaacha kutafuta njia za kupata vyanzo vipya vya mapato, wao wanafungia sehemu za kaz za watu.
 
Mkuu wa wilaya ya Ubungo Hassan Bomboko usiku wa kuamkia jana alishutukiza katika moja ya sehemu ya Daguro kubwa la kujiuza eneo la Ubungo Riverside na kuagiza baadhi ya bar maeneo hayo kufungwa mpaka pale zitakapo fuata utaratibu unaotakiwa

Vipi mdau je hii ni njia sahihi ya kupunguza madaguro na madada powa katika maeneo mengi Nchini?
Hawezi kuzuia ukahaba, atakufa ataauacha, Watu hawajui maana ya ukahaba Ndio maana wanahangaika kushindana na ukahaba, je Samia hajawahi kudanga/kufanya vitendo vya ukahaba kufika alipo?

Simply huyo mkuu wa wilaya hana jambo lingine la kufanya
 
Ukahaba kuongezeka ni kutokana na ugumu wa maisha ambao umesababishwa kwa kiasi kikubwa na serikali ya ccm kwa kushinda kutimiza wajibu wake vizuri tangu nchi imepata uhuru hadi kesho, japokua hiyo sio njia sahihi mbadala ya kujikwamua kwenye umaskini
 
Mkuu wa wilaya ya Ubungo Hassan Bomboko usiku wa kuamkia jana alishutukiza katika moja ya sehemu ya Daguro kubwa la kujiuza eneo la Ubungo Riverside na kuagiza baadhi ya bar maeneo hayo kufungwa mpaka pale zitakapo fuata utaratibu unaotakiwa

Vipi mdau je hii ni njia sahihi ya kupunguza madaguro na madada powa katika maeneo mengi Nchini?
Picha! Acha umbeya
 
Back
Top Bottom