Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba

Serikali makini hujali utulivu, sana kama inaondoa mazingira hayo watu kuwa vichaa wakitafuta huduma ni serikali ya kulaumiwa. Siku zote serikali hutakiwa kuweka sera za watu kuwa na furaha.
Wataalamu Ndiyo wanatengeneza sera bunge huzijadili na kuzipitisha, labda wataalamu wamesahu kukutengezea sera za kukupa furaha, swali fikirishi je wewe furaha yak ni kuchimba migodi hadharani, yaani watu wakifanya umalaya mtaani kwako, hili swala siyo la mkuu wa wilaya peke yake
 
Hongera sana Mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kudhamiria kutokomeza biashara haramu ya kuuza mili.
Leo hii tarehe 6/06/2024 Mkuu wa wilaya amekamata jumla ya madada poa 20 wakiwemo wateja wa biashara hiyo.

Tunaomba moto huu usipoe, bado maeneo ni mengi sana, sisi wananchi tutafichua vichaka vyote.

Chanzo ni chanel ten habari sa 1 usiku leo hii tarehe 06/06/2024

Ukiangalia wasichana na wamama walio kamatwa utabaki kinywa wazi.

Pamoja na kuwakamata, dawa pia ni kuvunja madanguro yote lakini pia kuwapiga picha makahaba wote na picha sura zao kisha zionyeshwe kwenye tv na mitandao ya kijamii.
Hata weza hiyo ni biashara kongwe ilikuwepo hata kabla yesu hajaja
 
Back
Top Bottom