BonventureSr
JF-Expert Member
- Nov 16, 2023
- 879
- 1,432
Lazima tutawatokomeza.
haiwezekani wanawake wajidhaliloshe kwa kuuza miili yao. tutakomesha huu ushenzi.
waenda vijijini wakalime sio kuwaambukiza vijana VVU.
Mbona wewe hizo picha za makahaba hujaziweka hapa?Hongera sana Mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kudhamiria kutokomeza biashara haramu ya kuuza mili.
Leo hii tarehe 6/06/2024 Mkuu wa wilaya amekamata jumla ya madada poa 20 wakiwemo wateja wa biashara hiyo.
Tunaomba moto huu usipoe, bado maeneo ni mengi sana, sisi wananchi tutafichua vichaka vyote.
Chanzo ni chanel ten habari sa 1 usiku leo hii tarehe 06/06/2024
Ukiangalia wasichana na wamama walio kamatwa utabaki kinywa wazi.
Pamoja na kuwakamata, dawa pia ni kuvunja madanguro yote lakini pia kuwapiga picha makahaba wote na picha sura zao kisha zionyeshwe kwenye tv na mitandao ya kijamii.
Mbona mashoga hawazungumzii, atakuwa anawapenda nini?Hongera sana Mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kudhamiria kutokomeza biashara haramu ya kuuza mili.
Leo hii tarehe 6/06/2024 Mkuu wa wilaya amekamata jumla ya madada poa 20 wakiwemo wateja wa biashara hiyo.
Tunaomba moto huu usipoe, bado maeneo ni mengi sana, sisi wananchi tutafichua vichaka vyote.
Chanzo ni chanel ten habari sa 1 usiku leo hii tarehe 06/06/2024
Ukiangalia wasichana na wamama walio kamatwa utabaki kinywa wazi.
Pamoja na kuwakamata, dawa pia ni kuvunja madanguro yote lakini pia kuwapiga picha makahaba wote na picha sura zao kisha zionyeshwe kwenye tv na mitandao ya kijamii.
Bidhaa tamu kuliko zote duniani ni mbunye/papuchi/mbususu! Ndo maana kuizuia ni ngumu!Biashara hiyo ndio biashara kongwe Kati ya biashara zote Duniani. Labda atafanikiwa, ngoja tuone!
Japo unapo taka kuuza bidhaa Yako ni lazima uwambie watu hata Kwa matangazo, (read me read me and buy me buy me), nisome Mimi nisome Mimi, (niangalie), ninunue ninunue hahaha 🤣 Ndiyo maana wanajiachiaNjia pekee ya kukomesha ukahaba ni kushughulika na wateja siyo wauzaji.
Wavivu wa kufikiri mnajikita kwa wauzaji badala ya wanunuzi.
Bure kabisa!