Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
😀😀😀🙌🙌Mkuyu huwa unatoa ua kubwa moja ambalo ukibahatika kuliona tu tayari maisha yako yanabadilika
Tafuta kitu kinaitwa Baniani kwa Hindu kwenye engo ya Botany IndianHapa ni makumbusho ya Taifa, kuna mti mkubwa sana mimi naufahamu kama BODHI TREE, ni mti ambao BUDDHA alipatia UFUNUO akajitambua, hata hivyo wafanyakazi pale makumbusho wameandika kwamba ule mti unaitwa MKUYU.
Mkuyu ni mti aliokwea ZAKAYO ili amuone YESU. Binafsi sifahamu mkuyu ukoje ila ninacho fahamu ni kwamba mti aliokaa BUDDHA na mti aliokwea ZAKAYO ni miti miwili tofauti.
Kisayansi mti aliopanda zakayo unaitwa Ficus sycamorus na ule wa BUDDHA unaitwa ficus religiosa mti aliokwea zakayo
View attachment 1920788
View attachment 1920802
Uongo kazi.Mkuyu huwa unatoa ua kubwa moja ambalo ukibahatika kuliona tu tayari maisha yako yanabadilika
Mkuu hizo mvi kwenye kidevu na kichwani, ni zile za kupaka rangi, au ni za ukweli kama hizi za kwangu?Hapa ni makumbusho ya Taifa, kuna mti mkubwa sana mimi naufahamu kama BODHI TREE, ni mti ambao BUDDHA alipatia UFUNUO akajitambua, hata hivyo wafanyakazi pale makumbusho wameandika kwamba ule mti unaitwa MKUYU.
Mkuyu ni mti aliokwea ZAKAYO ili amuone YESU. Binafsi sifahamu mkuyu ukoje ila ninacho fahamu ni kwamba mti aliokaa BUDDHA na mti aliokwea ZAKAYO ni miti miwili tofauti.
Kisayansi mti aliopanda zakayo unaitwa Ficus sycamorus na ule wa BUDDHA unaitwa ficus religiosa mti aliokwea zakayo
View attachment 1920788
View attachment 1920802
Na wewe umekuwa sehemu ya mkuyu?Hapa ni makumbusho ya Taifa, kuna mti mkubwa sana mimi naufahamu kama BODHI TREE, ni mti ambao BUDDHA alipatia UFUNUO akajitambua, hata hivyo wafanyakazi pale makumbusho wameandika kwamba ule mti unaitwa MKUYU.
Mkuyu ni mti aliokwea ZAKAYO ili amuone YESU. Binafsi sifahamu mkuyu ukoje ila ninacho fahamu ni kwamba mti aliokaa BUDDHA na mti aliokwea ZAKAYO ni miti miwili tofauti.
Kisayansi mti aliopanda zakayo unaitwa Ficus sycamorus na ule wa BUDDHA unaitwa ficus religiosa mti aliokwea zakayo
View attachment 1920788
View attachment 1920802
Mmh isifanye niamishie makazi yangu karibu na mkuyuMkuyu huwa unatoa ua kubwa moja ambalo ukibahatika kuliona tu tayari maisha yako yanabadilika
😂😂😂😂anaonekana ni kavu mno....snitchMkuu hizo mvi kwenye kidevu na kichwani, ni zile za kupaka rangi, au ni za ukweli kama hizi za kwangu?
Halafu mbona unaonekana kama Mkuda fulani vile!! Au ni macho yangu?
Kwa hiyo ilo ua linaleta pesa au!Mkuyu huwa unatoa ua kubwa moja ambalo ukibahatika kuliona tu tayari maisha yako yanabadilika
Huwa iko hivyo.Wahenga waliamini unapoona mkuyu jua kuna chemi chemi ya maji karibu.
Na ni kweli nafikiri,Wahenga waliamini unapoona mkuyu jua kuna chemi chemi ya maji karibu.
We ni mtaalum wa mimea..?Hapa ni makumbusho ya Taifa, kuna mti mkubwa sana mimi naufahamu kama BODHI TREE, ni mti ambao BUDDHA alipatia UFUNUO akajitambua, hata hivyo wafanyakazi pale makumbusho wameandika kwamba ule mti unaitwa MKUYU.