Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amesema Mkuyu na wewe uliona Mbuyu,naona mnaogelea vitu viwili tofauti. Kazi iendelee.Uongo kazi.
Nimewahi kuona ua la mbuyu.
Mpaka sasa naendesha maisha kwa mikopo ya benki na nipige tafu
Wajinga hawataisha dunianiKulikuwa na ulazima gani wa kutuwekea picha yako?.. Ama tukujadili na wewe?
Mbuyu na mkuyu ni miti miwili tafautiUongo kazi.
Nimewahi kuona ua la mbuyu.
Mpaka sasa naendesha maisha kwa mikopo ya benki na nipige tafu
Ahahh,umenichekesha mkuu,eti anaonekana mtu mkuda mkuda fulani, huyo jamaa kweli atakuwa dizaini ya wale watu wakuda wakuda kimuonekano tu(body laungage)Mkuu hizo mvi kwenye kidevu na kichwani, ni zile za kupaka rangi, au ni za ukweli kama hizi za kwangu?
Halafu mbona unaonekana kama Mkuda fulani vile!! Au ni macho yangu?
Fanya hvyo halafu ulete mrejeshoMmh isifanye niamishie makazi yangu karibu na mkuyu
Ni kweli. Mara nyingi mikuyu huota kandokando ya mito, mabwawa au chemchemi za maji.Wahenga waliamini unapoona mkuyu jua kuna chemi chemi ya maji karibu.
Hapa ni makumbusho ya Taifa, kuna mti mkubwa sana mimi naufahamu kama BODHI TREE, ni mti ambao BUDDHA alipatia UFUNUO akajitambua, hata hivyo wafanyakazi pale makumbusho wameandika kwamba ule mti unaitwa MKUYU.
Mkuyu ni mti aliokwea ZAKAYO ili amuone YESU. Binafsi sifahamu mkuyu ukoje ila ninacho fahamu ni kwamba mti aliokaa BUDDHA na mti aliokwea ZAKAYO ni miti miwili tofauti.
Kisayansi mti aliopanda zakayo unaitwa Ficus sycamorus na ule wa BUDDHA unaitwa ficus religiosa mti aliokwea zakayo
View attachment 1920788
View attachment 1920802
Wewe ndio zakayo Hapo kwenye mkuyu?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hapa ni makumbusho ya Taifa, kuna mti mkubwa sana mimi naufahamu kama BODHI TREE, ni mti ambao BUDDHA alipatia UFUNUO akajitambua, hata hivyo wafanyakazi pale makumbusho wameandika kwamba ule mti unaitwa MKUYU.
Mkuyu ni mti aliokwea ZAKAYO ili amuone YESU. Binafsi sifahamu mkuyu ukoje ila ninacho fahamu ni kwamba mti aliokaa BUDDHA na mti aliokwea ZAKAYO ni miti miwili tofauti.
Kisayansi mti aliopanda zakayo unaitwa Ficus sycamorus na ule wa BUDDHA unaitwa ficus religiosa mti aliokwea zakayo
View attachment 1920788
View attachment 1920802
Uongo kazi.
Nimewahi kuona ua la mbuyu.
Mpaka sasa naendesha maisha kwa mikopo ya benki na nipige tafu
Mbuyu ni tofauti na mkuyu,we umeona mbuyuUongo kazi.
Nimewahi kuona ua la mbuyu.
Mpaka sasa naendesha maisha kwa mikopo ya benki na nipige tafu
Huo ni mbuyu ,kuna tofauti Kati ya mkuyu na nbuyuWahenga waliamini unapoona mkuyu jua kuna chemi chemi ya maji karibu.