Mkuyu ni Mti gani?

Mkuyu ni Mti gani?

Nilisikia unaitwa fig kwa kiingereza. Na hayo matunda yake, makuyu ndiyo tini za figs au tini kama zinavyoitwa kwa bible.
 
Asante Kwa picha mkuu
Tumekujua kumbe ndio upo hivyo
Aaaaagh sawa
Mkuyu ni mbuyu uliozeeka
Ndio mawazo yangu yanavyonitumaga

Anyway ongeza picha!
 
Mkuu hizo mvi kwenye kidevu na kichwani, ni zile za kupaka rangi, au ni za ukweli kama hizi za kwangu?

Halafu mbona unaonekana kama Mkuda fulani vile!! Au ni macho yangu?
Ahahh,umenichekesha mkuu,eti anaonekana mtu mkuda mkuda fulani, huyo jamaa kweli atakuwa dizaini ya wale watu wakuda wakuda kimuonekano tu(body laungage)
 
mingine hurefuka sana na kwenda juu,bila tawi lolote.
 
Hapa ni makumbusho ya Taifa, kuna mti mkubwa sana mimi naufahamu kama BODHI TREE, ni mti ambao BUDDHA alipatia UFUNUO akajitambua, hata hivyo wafanyakazi pale makumbusho wameandika kwamba ule mti unaitwa MKUYU.

Mkuyu ni mti aliokwea ZAKAYO ili amuone YESU. Binafsi sifahamu mkuyu ukoje ila ninacho fahamu ni kwamba mti aliokaa BUDDHA na mti aliokwea ZAKAYO ni miti miwili tofauti.

Kisayansi mti aliopanda zakayo unaitwa Ficus sycamorus na ule wa BUDDHA unaitwa ficus religiosa mti aliokwea zakayo

View attachment 1920788
View attachment 1920802
 
Wewe ndio zakayo Hapo kwenye mkuyu?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom