Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Hapa ni makumbusho ya Taifa, kuna mti mkubwa sana mimi naufahamu kama BODHI TREE, ni mti ambao BUDDHA alipatia UFUNUO akajitambua, hata hivyo wafanyakazi pale makumbusho wameandika kwamba ule mti unaitwa MKUYU.
Mkuyu ni mti aliokwea ZAKAYO ili amuone YESU. Binafsi sifahamu mkuyu ukoje ila ninacho fahamu ni kwamba mti aliokaa BUDDHA na mti aliokwea ZAKAYO ni miti miwili tofauti.
Kisayansi mti aliopanda zakayo unaitwa Ficus sycamorus na ule wa BUDDHA unaitwa ficus religiosa mti aliokwea zakayo