Mmh isifanye niamishie makazi yangu karibu na mkuyu
Kwa hiyo ilo ua linaleta pesa au!
Mimi najua huu ndo mkuyu. Utomvu wake ni dawa ya mapunye ya kichwani.Hapa ni makumbusho ya Taifa, kuna mti mkubwa sana mimi naufahamu kama BODHI TREE, ni mti ambao BUDDHA alipatia UFUNUO akajitambua, hata hivyo wafanyakazi pale makumbusho wameandika kwamba ule mti unaitwa MKUYU.
Mkuyu ni mti aliokwea ZAKAYO ili amuone YESU. Binafsi sifahamu mkuyu ukoje ila ninacho fahamu ni kwamba mti aliokaa BUDDHA na mti aliokwea ZAKAYO ni miti miwili tofauti.
Kisayansi mti aliopanda zakayo unaitwa Ficus sycamorus na ule wa BUDDHA unaitwa ficus religiosa mti aliokwea zakayo
View attachment 1920788
View attachment 1920802
Nipo Dar es Salaam, Kwembe LuguruniHabari, nimekata mti jamii ya mkuyu kwa sababu ya kuendeleza ujenzi hivyo ulikuwa unaziba space. Anaeweza kununua magogo yake tuwasiliane 0713748763
Huo ndio mkuyati mizizi yake ndo inatoa vumbi la kongoHapa ni makumbusho ya Taifa, kuna mti mkubwa sana mimi naufahamu kama BODHI TREE, ni mti ambao BUDDHA alipatia UFUNUO akajitambua, hata hivyo wafanyakazi pale makumbusho wameandika kwamba ule mti unaitwa MKUYU.
Mkuyu ni mti aliokwea ZAKAYO ili amuone YESU. Binafsi sifahamu mkuyu ukoje ila ninacho fahamu ni kwamba mti aliokaa BUDDHA na mti aliokwea ZAKAYO ni miti miwili tofauti.
Kisayansi mti aliopanda zakayo unaitwa Ficus sycamorus na ule wa BUDDHA unaitwa ficus religiosa mti aliokwea zakayo
View attachment 1920788
View attachment 1920802
Sahihi, huo ni Mkuyu Wild Fig Tree.Mimi najua huu ndo mkuyu. Utomvu wake ni dawa ya mapunye ya kichwani.View attachment 1922239
Huyo jamaa ni mtu poa sana, anaitwa Gordian Gradus Anduru Agoro ( marehemu baba yake alikuwa mwandishi maarufu sana)Mkuu hizo mvi kwenye kidevu na kichwani, ni zile za kupaka rangi, au ni za ukweli kama hizi za kwangu?
Halafu mbona unaonekana kama Mkuda fulani vile!! Au ni macho yangu?
Kuna tofauti kati ya “Mbuyu”na “ Mkuyu” !Uongo kazi.
Nimewahi kuona ua la mbuyu.
Mpaka sasa naendesha maisha kwa mikopo ya benki na nipige tafu
Anafanania na polisi mkuda akikukamata atakungangania hutoki hata kidogo!.....anafanania fani ya uandishi wa kitafitiMkuu hizo mvi kwenye kidevu na kichwani, ni zile za kupaka rangi, au ni za ukweli kama hizi za kwangu?
Halafu mbona unaonekana kama Mkuda fulani vile!! Au ni macho yangu?
nadhani jamaa kasema mkuyu na si mbuyu ingawa kaingiza utani.Nimewahi kuona ua la mbuyu.
Typos mkuunadhani jamaa kasema mkuyu na si mbuyu ingawa kaingiza utani.
pamojaTypos mkuu
Ni ua la mkuyu
huyo jamaa ni mtu poa sana. Nilikutana naye mujibu 842kj mafinga . hizo harakati za ubudha anazo sana. But he is so kind.Mkuu hizo mvi kwenye kidevu na kichwani, ni zile za kupaka rangi, au ni za ukweli kama hizi za kwangu?
Halafu mbona unaonekana kama Mkuda fulani vile!! Au ni macho yangu?
kweli mkuu. Lkn pia nafikiri ana asili ya kwa Kenyatta.Huyo jamaa ni mtu poa sana, anaitwa Gordian Gradus Anduru Agoro ( marehemu baba yake alikuwa mwandishi maarufu sana)
kaka ukishaingia humu kwa jina la kweli basi ukubaliane na kadhia zitokanazo na uhuru wa maoniHuyo jamaa ni mtu poa sana, anaitwa Gordian Gradus Anduru Agoro ( marehemu baba yake alikuwa mwandishi maarufu sana)