Mkuyu ni Mti gani?

Mkuyu ni Mti gani?

Popote utakapo uona mti wa Mkuyu umeota basi jua kuwa eneo hilo lina UHAI kwa kila aina ya kiumbe.
 
Hapa ni makumbusho ya Taifa, kuna mti mkubwa sana mimi naufahamu kama BODHI TREE, ni mti ambao BUDDHA alipatia UFUNUO akajitambua, hata hivyo wafanyakazi pale makumbusho wameandika kwamba ule mti unaitwa MKUYU.

Mkuyu ni mti aliokwea ZAKAYO ili amuone YESU. Binafsi sifahamu mkuyu ukoje ila ninacho fahamu ni kwamba mti aliokaa BUDDHA na mti aliokwea ZAKAYO ni miti miwili tofauti.

Kisayansi mti aliopanda zakayo unaitwa Ficus sycamorus na ule wa BUDDHA unaitwa ficus religiosa mti aliokwea zakayo

View attachment 1920788
View attachment 1920802
Mimi najua huu ndo mkuyu. Utomvu wake ni dawa ya mapunye ya kichwani.
JamiiForums1974368627.jpg
 
Hapo kuna mkuyu na mrumba ...acha wataalam wakwambie which is which
 
Habari, nimekata mti jamii ya mkuyu kwa sababu ya kuendeleza ujenzi hivyo ulikuwa unaziba space. Anaeweza kununua magogo yake tuwasiliane 0713748763
 
Hapa ni makumbusho ya Taifa, kuna mti mkubwa sana mimi naufahamu kama BODHI TREE, ni mti ambao BUDDHA alipatia UFUNUO akajitambua, hata hivyo wafanyakazi pale makumbusho wameandika kwamba ule mti unaitwa MKUYU.

Mkuyu ni mti aliokwea ZAKAYO ili amuone YESU. Binafsi sifahamu mkuyu ukoje ila ninacho fahamu ni kwamba mti aliokaa BUDDHA na mti aliokwea ZAKAYO ni miti miwili tofauti.

Kisayansi mti aliopanda zakayo unaitwa Ficus sycamorus na ule wa BUDDHA unaitwa ficus religiosa mti aliokwea zakayo

View attachment 1920788
View attachment 1920802
Huo ndio mkuyati mizizi yake ndo inatoa vumbi la kongo
 
Mkuu hizo mvi kwenye kidevu na kichwani, ni zile za kupaka rangi, au ni za ukweli kama hizi za kwangu?

Halafu mbona unaonekana kama Mkuda fulani vile!! Au ni macho yangu?
Huyo jamaa ni mtu poa sana, anaitwa Gordian Gradus Anduru Agoro ( marehemu baba yake alikuwa mwandishi maarufu sana)
 
Mkuu hizo mvi kwenye kidevu na kichwani, ni zile za kupaka rangi, au ni za ukweli kama hizi za kwangu?

Halafu mbona unaonekana kama Mkuda fulani vile!! Au ni macho yangu?
Anafanania na polisi mkuda akikukamata atakungangania hutoki hata kidogo!.....anafanania fani ya uandishi wa kitafiti
 
Mkuu hizo mvi kwenye kidevu na kichwani, ni zile za kupaka rangi, au ni za ukweli kama hizi za kwangu?

Halafu mbona unaonekana kama Mkuda fulani vile!! Au ni macho yangu?
huyo jamaa ni mtu poa sana. Nilikutana naye mujibu 842kj mafinga . hizo harakati za ubudha anazo sana. But he is so kind.
 
umefanya niache kuangalia mkuyenge nikuangalie wewe

N way.. umependeza,
 
Back
Top Bottom