Mkwala, Debora na Ahoua ni wabovu, waondoke.

Mkwala, Debora na Ahoua ni wabovu, waondoke.

Sioni Simba iliyotarajiwa, hawa Coast wanatupeleka mputa sana, sipati picha tutakapokutana na Azam hali itakuwaje
Hawa wachezaji Wana vipaji kabisa sasa sioni kwani hakuna improvement badala yake tunaona deterioration kadri siku zinavyoenda. Bado wachezaji hawana kiu, makosa madogo yasiyotarajiwa ni mengi mno. Sijui nani aliyewaambia kuna mechi ndogo.
 
Itakuwa ni aibu. Yaani hata kwa coastal union Simba intaumia nguvu na ujuzi wao wote? Wachezaji wanapepesuka tu, halafu maarifa sifuri.
Wenye kukosa uelewa wa mpira ndiyo pekee wanaweza kuidhaeau coast na kuandika "hata coast"
 
Muda utatoa majibu sahihi, mechi dhidi ya APR hakuna aliyeona kuna magarasa zaidi ya kutamani kuipima Yanga umri. Imechezwa mechi dhidi ya Yanga ikaanza kuonekana hakuna winga wa kusaidiana na Mutale, mara wengine hakuna namba 10 mara wengine straika hakuna. Tetesi bosi anashusha straika na wengine wakasifia kuwa kuna mwanga unaonekana kuna bonge la timu aisee. Ila mpira wa leo tayari maneno yameanza mengine kuwa Mukwala, Deborah na Ahou hawafai. Kadri itakavyoanza itatoa majibu kuhusu picha ya hii timu kama kweli ya kuvumilika au ndio timua timua itaanza tena.
 
Back
Top Bottom