SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Ni uchovu baada ya Derby. Energy iko chini. Ila Mukwala hawezi kuwa chaguo la kwanza pale mbele, labda chaguo la pili. Mo hana budi kurudi sokoni alete kifaa hasa.Sioni Simba iliyotarajiwa, hawa Coast wanatupeleka mputa sana, sipati picha tutakapokutana na Azam hali itakuwaje
Simba inatengeneza nafasi nyingi, jinsi ya kuzitumia ndiyo tatizo. Tatizo la misimu kadhaa sasa bado linaendelea