- Thread starter
- #61
Wachezaji wa Simba wanacheza kama timu ya mchangani tu.Watu kama wewe ndio wavurugaji wa timu yetu. Unafikiri mchezo wa soka ni maigizo? Omba usajiliwe wewe ukaokoe jahazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachezaji wa Simba wanacheza kama timu ya mchangani tu.Watu kama wewe ndio wavurugaji wa timu yetu. Unafikiri mchezo wa soka ni maigizo? Omba usajiliwe wewe ukaokoe jahazi.
Yaani takataka kabisaNi Okejepha peke yake ndiye amecheza kwa malengo. The rest ni hovyo kabisa.
Acha Nyege!Siyo wachezaji wa kiwango na matamanio ya Simba SC. Wana makosa ya kitoto sana na hawana maajabu uwanjani
Ni takataka kabisa
Hakuna timu hapo. Hata mahindi wa tatu Simba ataikosa. Maana Coastal union sasa wanashambulia mno.Acha Nyege!
Hovyo sana. Wachezaji hawajui position zao, wanajisahau, makosa mengi ya kitoto, hakuna malengo, hakuna kufungua, hakuna kukaba. Kwa kifupi ni shida.XxxYaani takataka kabisa
Hiyo mapema mpk lini itaisha?Mapema kuwahukumu
Shida wanatafuta majinaHovyo sana. Wachezaji hawajui position zao, wanajisahau, makosa mengi ya kitoto, hakuna malengo, hakuna kufungua, hakuna kukaba. Kwa kifupi ni shida.
Amekalia kitu kigumu chenye ncha butu na kimezama kabisa maungoni mwakeBoss kunakitu umekalia
Hata hawaoneshi uhai kabisa. Miguu inajigongagonga tuShida wanatafuta majina
Nyetooo nyingi simba ijipange tena kusajiliHata hawaoneshi uhai kabisa. Miguu inajigongagonga tu
Ligi imeanza lini?unajua wana mkataba wa miaka mingapi?Hiyo mapema mpk lini itaisha?
Kwahiyo unataka wachezaji waje kuonesha uwezo wao mwisho wa mikataba yao?Ligi imeanza lini?unajua wana mkataba wa miaka mingapi?
Simba sio timu ya mtaani.
Coastal union imefanya makosa ya kuweza kupigwa goli hata 6 bila jasho,lkn Simba walikuwa wanacheza kama vochaasimba fell off. today
Coastal Union hata pasi 5 awezi kupiga. atleast goli 3-4. sio moja bila.
hii coastal ni mbovu sana.