Mkwala, Debora na Ahoua ni wabovu, waondoke.

Mkwala, Debora na Ahoua ni wabovu, waondoke.

Timu inacheza vizuri lakini haina malengo. Malengo ya timu ni kushinda. Sielewi kivipi mnashambulia halafu mnapoozesha move.
 
Simba timu ya siasa na propaganda utajikuta mashabiki wanajipa moyo timu haina muunganiko
Mashambiki maandazi wamejazana Simba, hawataki kusikia udhaifu wa wachezaji wao ukiongelewa. Ni traabu kweli kweli
 
Sijui kwakweli kama unaangalia mpira...ukiwa na watu kama nyie kumi kwny maaumuzi mtafumua kila uchwao kikosi...
 
Mimi ni mchambuzi. Nachambua ubovu wa wachezaji wa Simba. Unaona jinsi Coastal union wanavyoikosakosa Simba?? Hata kocha kaiona u ovu wa mkwala na Ahoua, amewatoa.
Sidhani kama ni ubovu. No irresponsive ndio inayoonekana. Maturity flani hivi ya kutaka kupata kitu unachokitaka.
 
Ni uchovu baada ya Derby. Energy iko chini. Ila Mukwala hawezi kuwa chaguo la kwanza pale mbele, labda chaguo la pili. Mo hana budi kurudi sokoni alete kifaa hasa.

Simba inatengeneza nafasi nyingi, jinsi ya kuzitumia ndiyo tatizo. Tatizo la misimu kadhaa sasa bado linaendelea
Ahahaaaaaa
Mzee yutrasaundii upo
 
Mashambiki maandazi wamejazana Simba, hawataki kusikia udhaifu wa wachezaji wao ukiongelewa. Ni traabu kweli kweli
Nilishangaa juz uwanjan mechi imeisha tumepigwa na yanga kama kawaida et mashabiki wanapiga makofi akaja yule comedian akawa nae anasifia wachezaji mashabiki wa simba n zero sana
 
Back
Top Bottom