- Thread starter
- #81
Tajiri muongo, bilioni 7 kwa wachezaji gani hapo?coast tu kawaangaisha na kikosi chenu tulichoambiwa ni Cha bilioni 7, hii hatari sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tajiri muongo, bilioni 7 kwa wachezaji gani hapo?coast tu kawaangaisha na kikosi chenu tulichoambiwa ni Cha bilioni 7, hii hatari sana!
Hiyo Timu Bora na CoastSiyo wachezaji wa kiwango na matamanio ya Simba SC. Wana makosa ya kitoto sana na hawana maajabu uwanjani
Ni takataka kabisa
Una komenti kama kichaa🚮 unaongea kama kichaa.
Ingekuwa bora ingefunga siyo chini ya goli 6 leoHiyo Timu Bora na Coast
We mkia mbona mapema wape mechi kumi kwanzaSiyo wachezaji wa kiwango na matamanio ya Simba SC. Wana makosa ya kitoto sana na hawana maajabu uwanjani
Ni takataka kabisa
Batiki FcKocha pia ni kimeo
Yule kiongozi wao muongo muongo Mr jaribu Tena ndiye alisema si unajua anavyowajazaga ujinga na wao wanajaa🤣🤣Tajiri muongo, bilioni 7 kwa wachezaji gani hapo?
Unashangaa sababu furaha yako haitokani na Yanga kufanya vizuri tu bali mashabiki wa Simba kuwa na huzuni. Ukijikita kwenye furaha inayotokana na matokeo yenu nje ya mashabiki wa Simba wanachofanya kwa timu yao hutoshangaa.Nilishangaa juz uwanjan mechi imeisha tumepigwa na yanga kama kawaida et mashabiki wanapiga makofi akaja yule comedian akawa nae anasifia wachezaji mashabiki wa simba n zero sana
Waonee huruma wenzio wewe! Hivi mziki wa nane nane unauona ulikuwa wa kitoto huo? Si mlikuwa mnasema mmesajili vijana?Siyo wachezaji wa kiwango na matamanio ya Simba SC. Wana makosa ya kitoto sana na hawana maajabu uwanjani
Ni takataka kabisa
Mbona na wewe umeandika coast!Wenye kukosa uelewa wa mpira ndiyo pekee wanaweza kuidhaeau coast na kuandika "hata coast"
Si wameaminishwa hivyo na kale kasemaji takataka!Karibu timu nzima ni mpya hiyo bado haina structure
Shida ya simba kikosi hiki ni kukosa kiongozi ila timu inatia moyo bwana ni vile kuna mashabiki wanataka mtoto azaliwe leo aongee,akae,asimame na kutembea leo leo.
Namaanisha gharama za kuvunja mkataba. Sio nyumbu hao ni binadamu wana haki zaoKwahiyo unataka wachezaji waje kuonesha uwezo wao mwisho wa mikataba yao?
Muda utaongeaaaaa