kidume Akili
Member
- Jun 5, 2017
- 31
- 15
Habari za alfajiri hii wana Jf!! Kwanza nipende kupongeza uwepo wa jukwaa hili la hoja mchanganyiko
Niende moja kwa moja kwenye mada, Mimi ni mtumishi wa umma idara ya elimu nimejikuta katika mkwamo mkubwa mno na hii ni baada ya kuhamishwa kituo cha awali miezi kadhaa nyuma kwa ukatili mkubwa hivo nafsi yangu haikuridhiaa hali hiyo!!
Baadae nikapiga moyo konde maisha yakaenda lkn Kadri siku zinavyokwenda ndivyo najikuta katika mazingira magumu mno moyo wangu unauma kweli kweli ndugu zangu, hadi naichukia kazi yangu, viongozi wangu ndo kabisa a yaani siku hadi siku na kibaya Zaidi mpaka Afya ya mwili wangu imedhoofu kabisa kutokana na halii hii
Nikaona niombe uhamisho ili roho yangu ikafanye kazi sehemu nyingine kwa amanii na utulivu. lkn nimekwama kwani nimeishia kutapeliwa hela zangu (roho inaniuma wakuu)zaidi ya M na 6k . nimeandika barua lkn holaaaa daaah, barua zimewekwa kapuni na wala sina historia mbovu kazini na ni mchapa kazi kweli ila kwa sasa hata kazi nafanya bila ufanisi kabisa tena bila kujituma tofauti na mwanzo!!
Naomba msaada wale wenye uzoefu wa kufika OR-TAMISEMI huduma zao zikojee? maana niko njia panda hata umhimu wa kazi siuelewii kabisaa, Halmashauri yangu Mungu anawaona kiukweli nawaombea kwa Mungu aliye hai siku moja na nyie mlipwe mnachotufanyiaa je nifike moja kwa moja Tamisemi? Je kutakuwa na suluhisho au taambiwa rudi huko huko??
Naomba kuwasilisha hoja yangu nikihitaji ushauri na mawazo chanya na msaada wa kuhama wilaya hii Niende hapo Mvomero moro!! Ahsanteni kwa kusomaa uzi mrefu ,kama unaweza nisaidia please nimeshatapeliwa sina Amanii kabisa, Msaada wenu tafadhali kijana wenu napoteaa huku najionaa