Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,254
Nguvu ya ankara aka kitita aka mavumba aka mafwedha haijamuacha salama.Huyu mwamba ameishia hewani na kesi yake ambayo inagusa maslahi ya uma

Yametia, shopping, selfie, new connection. Yap kipindi cha bunge Dodoma inanuka......Na ndio maana Ndugai aliahirisha bunge ili wabunge wakafanye shopping, kupiga selfie viunga vya bunge na wengine kuanzisha connection mpya huku nyie mawakili maslahi mkiangalia namna ya kutengua kanuni kisheria ili mlazimishe bunge lisonge 'kizombiezombie'.
Jiwe ni nuksi na laana ya Taifa.
Ndicho kitakachofanyika! Mtazikumbuka sana hizi nafasi mnazochezea!Why all that trouble, si wafanye wanavyotaka tu, nani atawauliza?
Siwezi kushangaa post yako hii.Sasa kulitakia mema taifa kumekuwa na maana tofauti kabisa na uhalisia. Ili ionekane unalitakia taifa mema, inatakiwa uwe unamsujudia rais na kusifia kila atakacho, na ukienda kinyume na utashi wa rais na kumkosoa hasa hadharani, basi tafsiri ya wazalendo academia ni kutokulitakia taifa mema! Taifa letu kwa sasa limeguezwa kuwa la wazalendo wa mdomoni na sio moyoni, kiasi kwamba imekuwa ngumu kutofautisha mzalendo na mjinga.
Kijani kibichi kitupu bungeni oyeeee .majizi ya kura bila kujua consequences zabvitendo vyao .Na Bashir Yakub, WAKILI
Kanuni ya 135(11) ya Kanuni za Kudumu za Bunge za June 2020, inasema kuwa " Wenyeviti wa Kamati ya Hesabu za serikali(PAC), na Hesabu za Serikali za Mitaa(LAAC) wanatakiwa kutoka Kambi Rasmi ya Walio wachache Bungeni".
Kwanza kwa Kanuni hizi mpya hakuna kitu kinaitwa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni, bali imebadilishwa na kuitwa Kambi rasmi ya walio wachache Bungeni.
Kanuni niliyotaja hapo juu inatafsiri kuwa hapawezi kuwa na kamati PAC na LAAC bila kambi rasmi ya walio wachache bungeni.
Na ili iwepo Kambi rasmi ya walio wachache bungeni ni lazima wabunge wa upinzani wafikie 12.5% ya wabunge wote kwa mujibu wa kanuni ya 21.
Mkwamo wa bunge la sasa ni kuwa wabunge wote wa upinzani hawafiki 12.5% ili waweze kuunda hiyo kambi rasmi.
Na kama hawawezi kuunda hiyo kambi maana yake kamati ya PAC na LAAC haziwezi kuwepo kwakuwa haziwezi kupata mwenyekiti aliyetakiwa atoke katika hiyo kambi.
Na bahati mbaya Kanuni hazisemi nini kifanyike iwapo Kambi rasmi haipo, au ikiwa upinzani haujafikia 12.5%.
Je inawezekana Bunge kuendeshwa bila Kamati muhimu na za lazima kama PAC ya hesabu za serikali na LAAC ya hesabu za serikali za mitaa?
Jibu ni hapana haiwezekani. Jambo moja kati ya matatu litatokea.
Moja, hiyo idadi ya 12.5% ilazimishwe ipatikane ili Kambi Rasmi ya Waliowachache Bungeni iwepo ili Wenyeviti wa PAC na LAAC wapatikane.
Mbili, itumike kanuni ya 174 ambayo inatoa uhuru kwa mbunge yeyote, waziri, au mwanasheria mkuu wa serikali kuleta Hoja ya kuomba Kanuni yoyote katika Kanuni za Kudumu KUTENGULIWA kwasababu na malengo maalum.
Maana yake mleta hoja ataomba Kanuni ya 135(11) inayolazimisha wenyeviti wa PAC na LAAC kutoka kambi rasmi ITENGULIWE, na baada ya hapo mwongozo mpya utatolewa.
Tatu, itumike Kanuni ya 2(2) inayomtaka Spika kutumia Sheria nyingine, Maamuzi ya mabunge yaliyopita, mila na desturi za mabunge, ikiwa kuna jambo au shughuli imejitokeza lakini haijaelezwa kwenye kanuni.
Nauona mkwamo huu ukimalizwa na moja kati ya haya matatu.
Wasalaam.
Siwezi kushangaa post yako hii.
Hata hivyo, kwa uwelevu wako huo ulitakiwa ujue kabisa kama umefikia hatua ya kushindwa kutofautisha mzalendo na mjinga, basi kuna jambo zito kwenye serikali yako ya utashi linaendelea. Ni wewe mwenyewe kuomba msaada kabla hilo jambo halijakuletea madhara makubwa.
Michango yako inaheshimika sana hapa jukwaani si vyema muda huu kuanza kutushawishi tuwe tunapuuzia post zako hapa JF. Narudia kwa msisitizo kuwa "si vyema" hata kidogo.
Kila la heri, Mkuu.Mkuu sikulazimishi uheshimu post zangu, ila narudia tena, sasa hivi ni ngumu kutofautisha mzalendo na mjinga. Nasema hili nikiwa na mifano halisi na wala sibahitishi kwenye hilo.
Dua la kuku halimpati mwewe.Na ndio maana Ndugai aliahirisha bunge ili wabunge wakafanye shopping, kupiga selfie viunga vya bunge na wengine kuanzisha connection mpya huku nyie mawakili maslahi mkiangalia namna ya kutengua kanuni kisheria ili mlazimishe bunge lisonge 'kizombiezombie'.
Jiwe ni nuksi na laana ya Taifa.
Nafikiri hizi si kanuni zetu tulizojiwekea wenyewe, ni kanuni za mabunge ya Jumuiya ya Madola.Na Bashir Yakub, WAKILI
Kanuni ya 135(11) ya Kanuni za Kudumu za Bunge za June 2020, inasema kuwa " Wenyeviti wa Kamati ya Hesabu za serikali(PAC), na Hesabu za Serikali za Mitaa(LAAC) wanatakiwa kutoka Kambi Rasmi ya Walio wachache Bungeni".
Kwanza kwa Kanuni hizi mpya hakuna kitu kinaitwa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni, bali imebadilishwa na kuitwa Kambi rasmi ya walio wachache Bungeni.
Kanuni niliyotaja hapo juu inatafsiri kuwa hapawezi kuwa na kamati PAC na LAAC bila kambi rasmi ya walio wachache bungeni.
Na ili iwepo Kambi rasmi ya walio wachache bungeni ni lazima wabunge wa upinzani wafikie 12.5% ya wabunge wote kwa mujibu wa kanuni ya 21.
Mkwamo wa bunge la sasa ni kuwa wabunge wote wa upinzani hawafiki 12.5% ili waweze kuunda hiyo kambi rasmi.
Na kama hawawezi kuunda hiyo kambi maana yake kamati ya PAC na LAAC haziwezi kuwepo kwakuwa haziwezi kupata mwenyekiti aliyetakiwa atoke katika hiyo kambi.
Na bahati mbaya Kanuni hazisemi nini kifanyike iwapo Kambi rasmi haipo, au ikiwa upinzani haujafikia 12.5%.
Je inawezekana Bunge kuendeshwa bila Kamati muhimu na za lazima kama PAC ya hesabu za serikali na LAAC ya hesabu za serikali za mitaa?
Jibu ni hapana haiwezekani. Jambo moja kati ya matatu litatokea.
Moja, hiyo idadi ya 12.5% ilazimishwe ipatikane ili Kambi Rasmi ya Waliowachache Bungeni iwepo ili Wenyeviti wa PAC na LAAC wapatikane.
Mbili, itumike kanuni ya 174 ambayo inatoa uhuru kwa mbunge yeyote, waziri, au mwanasheria mkuu wa serikali kuleta Hoja ya kuomba Kanuni yoyote katika Kanuni za Kudumu KUTENGULIWA kwasababu na malengo maalum.
Maana yake mleta hoja ataomba Kanuni ya 135(11) inayolazimisha wenyeviti wa PAC na LAAC kutoka kambi rasmi ITENGULIWE, na baada ya hapo mwongozo mpya utatolewa.
Tatu, itumike Kanuni ya 2(2) inayomtaka Spika kutumia Sheria nyingine, Maamuzi ya mabunge yaliyopita, mila na desturi za mabunge, ikiwa kuna jambo au shughuli imejitokeza lakini haijaelezwa kwenye kanuni.
Nauona mkwamo huu ukimalizwa na moja kati ya haya matatu.
Wasalaam.
Labda nikuulize, Lissu ni Mzalendo au Mjinga? Kwanini?Mkuu sikulazimishi uheshimu post zangu, ila narudia tena, sasa hivi ni ngumu kutofautisha mzalendo na mjinga. Nasema hili nikiwa na mifano halisi na wala sibahitishi kwenye hilo.
Kila la heri, Mkuu.
Kuna haha gani ya kuwa na kanuni zisizo na meno ambazo chama fulani kina uwezo wa kuzibadirisha kusuit matakwa yao?Na Bashir Yakub, WAKILI
Kanuni ya 135(11) ya Kanuni za Kudumu za Bunge za June 2020, inasema kuwa " Wenyeviti wa Kamati ya Hesabu za serikali(PAC), na Hesabu za Serikali za Mitaa(LAAC) wanatakiwa kutoka Kambi Rasmi ya Walio wachache Bungeni".
Kwanza kwa Kanuni hizi mpya hakuna kitu kinaitwa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni, bali imebadilishwa na kuitwa Kambi rasmi ya walio wachache Bungeni.
Kanuni niliyotaja hapo juu inatafsiri kuwa hapawezi kuwa na kamati PAC na LAAC bila kambi rasmi ya walio wachache bungeni.
Na ili iwepo Kambi rasmi ya walio wachache bungeni ni lazima wabunge wa upinzani wafikie 12.5% ya wabunge wote kwa mujibu wa kanuni ya 21.
Mkwamo wa bunge la sasa ni kuwa wabunge wote wa upinzani hawafiki 12.5% ili waweze kuunda hiyo kambi rasmi.
Na kama hawawezi kuunda hiyo kambi maana yake kamati ya PAC na LAAC haziwezi kuwepo kwakuwa haziwezi kupata mwenyekiti aliyetakiwa atoke katika hiyo kambi.
Na bahati mbaya Kanuni hazisemi nini kifanyike iwapo Kambi rasmi haipo, au ikiwa upinzani haujafikia 12.5%.
Je inawezekana Bunge kuendeshwa bila Kamati muhimu na za lazima kama PAC ya hesabu za serikali na LAAC ya hesabu za serikali za mitaa?
Jibu ni hapana haiwezekani. Jambo moja kati ya matatu litatokea.
Moja, hiyo idadi ya 12.5% ilazimishwe ipatikane ili Kambi Rasmi ya Waliowachache Bungeni iwepo ili Wenyeviti wa PAC na LAAC wapatikane.
Mbili, itumike kanuni ya 174 ambayo inatoa uhuru kwa mbunge yeyote, waziri, au mwanasheria mkuu wa serikali kuleta Hoja ya kuomba Kanuni yoyote katika Kanuni za Kudumu KUTENGULIWA kwasababu na malengo maalum.
Maana yake mleta hoja ataomba Kanuni ya 135(11) inayolazimisha wenyeviti wa PAC na LAAC kutoka kambi rasmi ITENGULIWE, na baada ya hapo mwongozo mpya utatolewa.
Tatu, itumike Kanuni ya 2(2) inayomtaka Spika kutumia Sheria nyingine, Maamuzi ya mabunge yaliyopita, mila na desturi za mabunge, ikiwa kuna jambo au shughuli imejitokeza lakini haijaelezwa kwenye kanuni.
Nauona mkwamo huu ukimalizwa na moja kati ya haya matatu.
Wasalaam.
Labda nikuulize, Lissu ni Mzalendo au Mjinga? Kwanini?
Mzalendo aliyeikimbia nchi yake!!?? Ahahahahahah! Hiyo itakuwa aidha ni tafsiri ya JF au ya Ufipa! Ahahahahah!Lisu ni mtanzania, na hana muda wa uzalendo wa mdomoni bali wa moyoni. Ukiwa una uzalendo wa nchi, huhitaji kungojea madaraka ili uzalendo wako uonekane. Haya mambo ya kujifanya mzalendo kisha unatangaza ajira wakati kampeni kisha sio kweli, huo ni uhuni kama uhuni mwingine.