Mkwamo wa Bunge kikanuni bila kambi Rasmi ya Upinzani

Yametia, shopping, selfie, new connection. Yap kipindi cha bunge Dodoma inanuka......
 
Siwezi kushangaa post yako hii.

Hata hivyo, kwa uwelevu wako huo ulitakiwa ujue kabisa kama umefikia hatua ya kushindwa kutofautisha mzalendo na mjinga, basi kuna jambo zito kwenye serikali yako ya utashi linaendelea. Ni wewe mwenyewe kuomba msaada kabla hilo jambo halijakuletea madhara makubwa.

Michango yako inaheshimika sana hapa jukwaani si vyema muda huu kuanza kutushawishi tuwe tunapuuzia post zako hapa JF. Narudia kwa msisitizo kuwa "si vyema" hata kidogo.
 
Kijani kibichi kitupu bungeni oyeeee .majizi ya kura bila kujua consequences zabvitendo vyao .
 

Mkuu sikulazimishi uheshimu post zangu, ila narudia tena, sasa hivi ni ngumu kutofautisha mzalendo na mjinga. Nasema hili nikiwa na mifano halisi na wala sibahitishi kwenye hilo.
 
Mkuu sikulazimishi uheshimu post zangu, ila narudia tena, sasa hivi ni ngumu kutofautisha mzalendo na mjinga. Nasema hili nikiwa na mifano halisi na wala sibahitishi kwenye hilo.
Kila la heri, Mkuu.
 
Dua la kuku halimpati mwewe.
 
Nafikiri hizi si kanuni zetu tulizojiwekea wenyewe, ni kanuni za mabunge ya Jumuiya ya Madola.

Hivyo, tukiziondoa, tunajiondoa katika mfumo wa mabunge ya Jumuiya ya Madola.

Na serikali itakosa misaada kibao inayoambatana na bunge letu kutimiza masharti haya.Pamoja na kusemwa kwamba haijiendeshi kidemokrasia.

Hapo ndipo kwenye kimbembe.
 
Mkuu sikulazimishi uheshimu post zangu, ila narudia tena, sasa hivi ni ngumu kutofautisha mzalendo na mjinga. Nasema hili nikiwa na mifano halisi na wala sibahitishi kwenye hilo.
Labda nikuulize, Lissu ni Mzalendo au Mjinga? Kwanini?
 
Kuna haha gani ya kuwa na kanuni zisizo na meno ambazo chama fulani kina uwezo wa kuzibadirisha kusuit matakwa yao?
Nini maana ya kutambulika kwa upinzani ndani ya Katiba ya JMT na katika Sheria za Bunge la JMT na bado chama fulani kikafanya kinavyotaka?
Ujinga wa watanzania ndio unapelekea yote haya. Mwl. Nyerere hakukosea kusema miongoni mwa maadui wa nchi hii UJINGA period.
 
Labda nikuulize, Lissu ni Mzalendo au Mjinga? Kwanini?

Lisu ni mtanzania, na hana muda wa uzalendo wa mdomoni bali wa moyoni. Ukiwa una uzalendo wa nchi, huhitaji kungojea madaraka ili uzalendo wako uonekane. Haya mambo ya kujifanya mzalendo kisha unatangaza ajira wakati kampeni kisha sio kweli, huo ni uhuni kama uhuni mwingine.
 
Mzalendo aliyeikimbia nchi yake!!?? Ahahahahahah! Hiyo itakuwa aidha ni tafsiri ya JF au ya Ufipa! Ahahahahah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…