TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 4,321
- 7,501
Anauwezo mkubwa san , ata DC anatosha sanaHivi Kwani msemaji Mkuu wa hilo jeshi ni nani?
Apigiwe simu nani Masauni?
Au CDF au nani ?
Maana RPC sizani kama kwa hawa jamaa kama anaweza kusema kitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anauwezo mkubwa san , ata DC anatosha sanaHivi Kwani msemaji Mkuu wa hilo jeshi ni nani?
Apigiwe simu nani Masauni?
Au CDF au nani ?
Maana RPC sizani kama kwa hawa jamaa kama anaweza kusema kitu.
Mkuu wanajeshi wa Tanzania wana ubabe wa kipuuzi sina hakika kama ubabe wa namna hii unapatikana kwingine. Yani wao kufanya ubabe wa kukomoana wao wanao ndio ujeshi wenyewe. We fikiria hapo tena jeshi limeshindwa nini kusogeza gari watu waendelee na safari.Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu ya kila asomae.
Kuna mtihani mkubwa umewakumbuka wananchi wengi Leo unaosemekana kusababishwa na gari ya jeshi kuharibika na kipande cha barabara kufungwa kwa muda usojulikana.
Kwenye Magari kuna wagonjwa ambao wanaenda hospital je hali zao itakuwaje?
Kuna wajawazito,
Kuna wa mama wenye watoto wachanga wanyonyeshao,
Hali hii yaweza kuwa inasababisha upotevu wa milioni ngapi?
Nani kiongozi Mkuu wa uamuzi wa kufunga barabara hii kuu?
Je wamepima kwa mbele hasara wanayosababisha?
Nani atafidia wananchi waaminifu hasara hii ?
Wanaoenda misibani kuzika je itakuwaje ?
Barabara kuwa moja ni mtihani.
Zijengwe double road walau kwa kuanzia.
Mbona kama nyakati za ujima jamani 😭😭😭
Nani atawahibika au kuwajibishwa kwa uzembe mkubwa huu?
Wananchi wanataka waambiwe mkwamo huu umesababishwa na nani?
Mbona sio salama hali hii?
Kwenu vyombo vya usalama na Viongozi wenye dhamana wananchi tunataka ufumbuzi wa haraka kuokoa hali hii hatari.
Aione RPC Pwani na Viongozi wengi wakuu.
Jeshi kama lina iwezo wa kujenga hadi madaraja ya dharura hadi kuitwa katika uokozi hapo ndipo waonyeshe uwezo wao wa kutatua changamoto kwa wananchi zilizotokana na gari lao. Wanashindwa nini kuliweka pembeni hata kwa kulisukuma. Yani unajivunia kuwa na jeshi ambalo linashindwa tatua changamóto kama hiyo?WALILIHARIBU WAO??
KAMA LIMEHARIBKA LENYEWE TOPIC CLOSED
Njia inapitika sasa mkuu 🔐Jeshi kama lina iwezo wa kujenga hadi madaraja ya dharura hadi juitwa katika uokozi hapo ndipo waonyeshe uwezo wao wa kutatua changamoto kwa wananchi zilizotokana na gari lao. Wanashindwa nini kuliweka pembeni hata kwa kulisukuma. Yani unajivunia kuwa na jesho ambalo linashindwa tatua changamóto kama hiyo?
Ubepari ungekosa hata ardhi ya kulima mchicha.Ndio maana nikiwaambia Tanganyika ilikuwa ikimuhitaji zaidi Oscar Kambona baada ya uhuru kuliko ilivyokuwa ikimuhitaji Nyerere kabla ya uhuru mnabisha. Na haya ndio matokeo yake...See more
Ugomvi wao mkubwa madem na pombeMkuu wanajeshi wa Tanzania wana ubabe wa kipuuzi sina hakika kama ubabe wa namna hii unapatikana kwingine. Yani wao kufanya ubabe wa kukomoana wao wanao ndio ujeshi wenyewe. We fikiria hapo tena jeshi limeshindwa nini kusogeza gari watu waendelee na safari.
We kariri tu hayo masheria.Ktu ambacho akikatzwii ni msafara na gari za dharula
Umesoma lkn udereva na sheria za BARABARAN
Wew unatak tukariri uogaWe kariri tu hayo masheria.
Poleni kwa kadhia mkuu
Mmeruhusiwa muda gani
Pole mkuuHii nchi ina maujinga mengi ya kujitakia yote hii ni sababu tunaongozwa na mbumbumbu,Vilaza na ngumbaru wa head!
Kuna muda hua naona najuta kuzaliwa nchi yenye idadi kubwa ya vilaza maana kwa namna navyojiona wa tofauti hua najisemea kabisa ningezaliwa nchi za watu wenye akili kubwa kwa hizi akili zangu ndogo nilizonazo hakika ningekua mbali sana maana napenda kucopy idea ambazo zingesaidia nchi ila kwa sababu tu nipo bongo shithole kamwe sitaweza kuzi apply!
Inauma sana!
Asante ila inauma sana mkuu just imagine Nape anatumia bajeti kubwa kununua Mdoli anaouita roboti kwa fedha zetu za kodi bila uchungu na kuuweka kwenye Muhimili mhimu kama bunge na wabunge vilaza wanaupa salamu na tabasamu kama Sio wendawazimu ni nini?Pole mkuu
Aliyeanzisha thread hana uhakika wa nini kilitokea hasa yeye analaumu tu sababu alikutana na foleni. Uliza taratibu uambiwe ilikuaje sio kulaumu tu.
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu ya kila asomae.
Kuna mtihani mkubwa umewakumbuka wananchi wengi Leo unaosemekana kusababishwa na gari ya jeshi kuharibika na kipande cha barabara kufungwa kwa muda usojulikana.
Kwenye Magari kuna wagonjwa ambao wanaenda hospital je hali zao itakuwaje?
Kuna wajawazito,
Kuna wa mama wenye watoto wachanga wanyonyeshao,
Hali hii yaweza kuwa inasababisha upotevu wa milioni ngapi?
Nani kiongozi Mkuu wa uamuzi wa kufunga barabara hii kuu?
Je wamepima kwa mbele hasara wanayosababisha?
Nani atafidia wananchi waaminifu hasara hii ?
Wanaoenda misibani kuzika je itakuwaje ?
Barabara kuwa moja ni mtihani.
Zijengwe double road walau kwa kuanzia.
Mbona kama nyakati za ujima jamani 😭😭😭
Nani atawajibika mwenyewe au kuwajibishwa kwa uzembe mkubwa huu?