Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
- Thread starter
- #41
Hivi Kwani msemaji Mkuu wa hilo jeshi ni nani?
Apigiwe simu nani Masauni?
Au CDF au nani ?
Maana RPC sizani kama kwa hawa jamaa kama anaweza kusema kitu.
Barabara hiyo inaunganisha mikoa yote ya Tanganyika isipokuwa mkoa wa Lindi na Mtwara tu.
Barabara hiyo inaunganisha nchi zote za jirani .
Haya yote hao walofanya uamuzi wa kufunga barabara je waliyazingatia ?
Nikija upande wa Serikali Kwanini hata baada ya miaka zaidi 60 ya Uhuru bado barabara hiyo ni moja kwa kuzingatia unyeti wa hayo niloelezea hapo ?
Kwanini nini wabunge Wasisimame kidedea kuishinikiza Serikali Kwamba kipaombele iwe kuijenga hiyo barabara walau Kwa kuanzia iwe double road na kisha triple road?