Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tangu nipate akili sijawahi kuona Timu ya taifa letu ikila kichapo cha mbwa mwizi kama hiki , unalipwa hela nyingi ili ufanye kazi lakini umeshindwa , tungeweza kufungwa ila si kwa kipigo cha kufedhehesha namna hii , ondoka mwenyewe usisubiri maandamano , umeshindwa mkuu .
umetoa wapi ujasiri wa kuandika hii ? Kwanini morinyo analaumiwa chelsea ?hapana mkwasa hana makosa mkuu vijana wetu ndo wameharibu
Asante sana .Ukweli ni kua Mkwasa alipewa sifa za Bure uwezo wake mdogo kwenye mechi za kimataifa bado hana mbinu za kuusoma mchezo?na kubadili mchezo halafu wachezaji hawana nidhamu ndio sababu tumepewa kadi nhingi za njano,hio pia inatokana na udhaifu wa kocha ,arudi tu kwenye ligi yetu ya majungu rushwa na fitina huku ndio anaweza
Magari ya maji ya kuwasha yanahusu mambo ya siasa tu mkuu , huku kwenye soka hakuna , mara ngapi umeona marefa wakidundwa pale shamba la bibi , uliwahi kuona washawasha ?Hayo maandamano kutoka kwa raia wa nchi gani mkuu?!!ni hawa hawa watanzania au...?!
Kocha mzuri ni yule anayeleta ushindi , si yule anayeleta aibu .Watanzania tuna matatizo, Mkwasa juzi alikuwa Kocha mzuri ila leo hafai.
Watanzania tuna matatizo, Mkwasa juzi alikuwa Kocha mzuri ila leo hafai.
Bila shaka wewe si mzalendo , arsenal haijawahi kuwa timu ya taifa , baada ya kichapo cha brazil hakuna anayemtaka scolari kuwa kocha hata wa bonanza .Kosa ana tatizo wala nn ...Soka letu lipo chino xn
Arsenal alipigwa 8
Brazil alichapwa 7
Itakua Staz bhana
Tujipange
Kwani mkuu tumepigwa ngapi?
Waliomsifia Mkwasa ni kwa ushabiki wa Yanga na Simba,ila kwa mtu anaejua mpira na mfuatiliaji wa mpira anajua Mkwasa hana ubavu kwenye mechi za kimataifa,hio Malawi tu ilikua kubahatisha tu
Watanzania tuna matatizo, Mkwasa juzi alikuwa Kocha mzuri ila leo hafai.