Mkwasa jiuzulu mwenyewe, usisubiri kutimuliwa

Wanaomlaumu Mkwassa ukiangalia asilimia kubwa ni wale mashabiki jina, hajawahi hata kusuka mpira wa chandimu, hajui hata kupiga danadana, ni washabiki fuata upepo, huwezi kuifananisha stars iliyopo nafasi ya 135 kidunia na algeria iliyopo nafasi ya 40, nafasi ya 40 kwa nafasi ya 2 afrika ni kichekesho, algeria wanawachezaji zaidi ya 200 wanaocheza soka ulaya, wakati tz tuna samatta na ulimwengu tena hapo kongo:what: ukiangalia sana tatizo sio makocha ni wachezaji na simba na yanga, wachezaji kiu yao kubwa ni kucheza simba au yanga baasi, simba na yanga nazo hazipo tayari kuwaachia wachezaji wakafanye majaribio nje ya nchi na zinafanya usajili wakuleta wachezaji kutoka nje na wanapangwa kikosi cha kwanza, pia, timu itafutiwe mechi za majaribio, kwenye nchi ambazo viwango vinatuzidi mara tatu au nne, Mkwassa wewe ni bonge la kocha, wala usijiuzulu piga kazi.
 
Unamtetea mkwasa kwa faida ya nani ? Kama unampenda kwanini usianzishe timu umpe kazi ? Dharau ni kitu kibaya sana , eti hatujui mpira ! Unajidanganya kwa faida ya nani ? Pamoja na mapungufu yote ya timu yetuhatukustahili kipigo cha aibu kama kile , ni lazima mkwasa ang'oke , vinginevyo tutamng'oa kwa maandamano , CC - Jamal malinzi .
 
Leo kapigiwa simu na Clouds FM eti akihojiwa kuwa tumesikia unaitaka timu ya taifa uifundishe akasema nimeona kwenye mitandao tu hata sijui hahaaaa nimecheka sana leo

Kama mzee Hashim Rungwe ana uwezo aje tumpe timu , mbona mzee mwenzie zakaria kinanda alifanya vizuri tu .
 
Umesema mwenyewe hujawahi kuona timu ikifungwa goli kama hizo!!
hapo inatosha kujua wewe sio shabiki wa mpira wala huujui mpira,timu nyingi tena kubwa kubwa zimepigwa zaidi ya hizo goli,
sijaona sababu ya mkwasa kujiuzulu kwa hicho kipigo,kama tungekuwa tumefungwa hizo bao na comoro au Djibout hapo sawa,Algeria ni timu bora kabisa kwa afrika ,hata brazil angekuwa anacheza nao basi hana uhakika wa kuwafunga 100%
Je Historia kujirudia ?
 
Back
Top Bottom