Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana mkwasa hana makosa mkuu vijana wetu ndo wameharibu
Nakushauri wewe ndio uachane na soka.Tangu nipate akili sijawahi kuona Timu ya taifa letu ikila kichapo cha mbwa mwizi kama hiki , unalipwa hela nyingi ili ufanye kazi lakini umeshindwa , tungeweza kufungwa ila si kwa kipigo cha kufedhehesha namna hii , ondoka mwenyewe usisubiri maandamano , umeshindwa mkuu .
Nakushauri wewe ndio uachane na soka.
Ila kiukweli... Imeuma sana
Hata aje Guardiola tatizo la soka letu si kocha.Sing'oki kizembe mkuu , haiwezekani kuiacha aibu itambe , atang'oka mkwasa kwanza , malengo ya timu yoyote ya soka ni ushindi , si chenga twawala .
Tatizo watz weng ni makocha ,leo tunasema Mkwasa hafai
Umefika wakati wa kuiondoa timu yetu ya taifa kwenye michuano ya kimataifa ili kuepuka aibu zisizo za lazima .Ukweli ni kua Mkwasa alipewa sifa za Bure uwezo wake mdogo kwenye mechi za kimataifa bado hana mbinu za kuusoma mchezo?na kubadili mchezo halafu wachezaji hawana nidhamu ndio sababu tumepewa kadi nhingi za njano,hio pia inatokana na udhaifu wa kocha ,arudi tu kwenye ligi yetu ya majungu rushwa na fitina huku ndio anaweza
Imefika wakati mashabiki wa always ushindi kujitoa kwenye sokaUmefika wakati wa kuiondoa timu yetu ya taifa kwenye michuano ya kimataifa ili kuepuka aibu zisizo za lazima .
7-0 dah raha sanaa
World cup imejaa maajabu sana. Brazil alipigwa 7-1 akiwa nyumbani na kutolewa katika mashindano. Ujerumani na Brazil wote walikuwa ndani ya top 10 katika rankings za FIFA. Algeria na Tanzani tuko mbali mno hivyo kupigwa 7-0 ni haki yetu, tujifunze soka maana hatujajua bado, wakati Algeria ni ya 26 sisi tuko nafasi ya 135 katika rankings za FIFA. Range ni 109 si mchezo!
Hashim Rungwe msela njoo gombea na huku