Mkwasi Rostam na Vodacom

Mkwasi Rostam na Vodacom

Katika yale makampuni yaliyotajwa katika sakata la kuchota EPA wamiliki wao ni nani anafanya biashara na Watanzania? Na hapa nina maana wamiliki wanaojulikana siyo by extension or by proxy.

Mkuu ndio maana naangalia mada hii na kuona kuna uhusiano mkubwa na ile ya Chenge kumsaidia RA kuhamisha mali nje kwa kuwa tunasema tuisusie Vodacom kwa kuhusisha RA na ufisadi na pale anahamisha mali kwa kuhofi uchunguzi wa kifisadi, tunaweza kujadili na kuona kama kweli anajiamini ni safi kwanini akimbize mali? Kuna mtumishi wa BoT ambaye hajaguswa kabisa bado yuko BoT (Peter Noni) na mkewe ni kiongozi CCM lakini ni tajiri kupindukia na sasa tunaambiwa hisa zake kamuuzia Rostam kwa haraharaka na RA naye anazikimbiza... Sasa hatushituki? najua kina Mwanyika, IGP na Hosea hayo hawayaoni, sisi je?
 
tupeni list ya wamiliki wa kampuni zilizochota pesa BOT na kisha tuambiwe wanamiliki biashara gani ilitujue cha kufanya.
labda wazo la vodacom limekuja kwa sababu ni kampuni ambayo inajuuliakana na karibu kila mtu tanzania.
 
Nami kama wewe nangoja kuona list na tuendelee kutafuta suluhu .
 
nani anajua celtel ni ya nani hapa?
atupe data kabla ya kuhamia huko, tigo na zantel pia. labda hizi kampuni mpya ndio kimbilio letu.
Manake navyojua mimi ya celtel yako jikoni, yanakuja, labda wana JF tuchoke na kushiba fisadi mmoja.

Sasa hata tuseme yote makampuni haya yana ufisadi, utaanza na lipi? Au utaacha kutumia simu. Kila kitu lazima kiwe na sehemu ya kuanzia.

Vita siku zote haipinanwi katika front moja.
 
Tuendelee kuhabarishana na mwisho vita isambae, tumia simu ama mails ili mradi ujumbe usambae .
 
Sijaweza kusoma thread nzima. Lakini mkuu Lunyungu, if you wanna make a point, create an email, foward it around. The ball will roll. People will decide whether you are right or wrong (I am not sure if you are right or wrong), and they will push the message. Sio kila mtu anakuja JF, trust me!!
Kama kuna mtu kashashauri hivyo poa.
 
Mkuu Nzo
Hapa tuko vitani .Nimesha fanya moja la hapa nawe lete la pili .Mie sina watu wengi ninao sema nao .Nina jumla ya mails 8 sina zaidi na hawa nimesha wapa .Sasa wewe unatoa mchango upi baada ya wazo hili ?
 
Kitu kama e-mail ni simple sana. Mi siwezi nikakurupuka tu kuandika e-mail ambayo I dont believe in 100%. Lakini, we andika mfano hapa wa point zako. Anza ku-i-forward. Hata nisogezee PM, itasambazwa. Au bandika point zako hapa kwenye thread, omba watu waforward (trust me, it will be forwarded). Lakini sio kwamba nakubaliana nawe necessarily ninapoisogeza, attitude yangu ni kwamba, acha watu wawe intelligent vya kutosha wapime wenyewe pointi zako......hivyo hivyo nikipata e-mail kutoka Vodacom wana rebutt mawazo yako, basi pia niko free ku-i-forward bila kutoa mawazo yangu.

Feel free kufungua account online, free, tuma txt nyingi kwa namba tofauti za voda anonymously, with to the point message. Watu wataforward. DONT RELY ON JF ONLY.

Kuhusu mchango wangu kuhusu yanayotokea Tanzania, mawazo yangu ni radical zaidi na wengi hawafikirii hivyo. Kwahiyo mimi niko poa tu kutulia na kuangalia mchezo na kuendelea na maisha yangu (niko kwenye minority na mawazo yangu).
 
Nakubaliana nawe kabisa umesoma late mada imesha shida moto .Ila messages zimekuwea composed na ziko hapa hapa ni mtu kuchagua ipi anataka na kusukuma .Kwenye hii thread Paparazi amelata mambo mazuri sana na kuna mtanzania mwingine pia kafanya kweli kwa aina messages .So pitia uone na tusaidie .Nimeona message zingine zimeanza kusambaa via mails .Kuna mahala nimeona copy leo ofisi sasa mambo ya Ijumaa na bongo hii nikauchuna kwanza .
 
Lunyungu,

Vipi umeme wa IPTL na Richmond tususie pia kuwakomoa "mafisadi'
 
Heshima mbele wakulu , binafsi naunga mkono kwa 100% kususia huduma za kampuni ya Vodacom kwasababu ndani yake yumo Fisadi mkuu Tanzania hii,ila sasa sina uhakika kama tutafanikiwa kushawishi umma kwa sababu huyu bwana Rostam ni rafiki wa karibu wa Muungwana(Kikwete) pia kwa kutumia mabilioni yake amefanikiwa kupata watu ndani ya ccm ambao wana mlinda kwa lolote,maana pamoja na kampuni yake ya Caspian kuhusishwa na Richmond/Dowans kwenye tume ya Mwakyembe lakini bado ana jeuri hapa TZ
 
Lunyungu,

Vipi umeme wa IPTL na Richmond tususie pia kuwakomoa "mafisadi'

Richmond mkataba wao unaisha December mwaka huu,tuna uwezo wa kususia,kwanza sasa hivi maji ni mengi sana kwenye mabwawa tangu January.
Pili kuhusu IPTL serikali ina mpango wa kuinunua ili iwe mali ya umma nayo vilevile tuna uwezo wa kususia maana Tanesco wana machine ya kuzalisha umeme yenye kiwango sawa na IPTL Megawatt 100 kwasasa
 
Heeh wananunua mali za mafisadi nakuzidi kuwa neemesha! makubwa haya basi wanunue na Vodacom
 
Mimi nadhani ndugu Masatu tufanye lile moja na jingine lije baadaye .Tuanze na hili na linawezekana tuingie katika utekelezaji tu .
 
Kweli JAMIIFORUMS WASAHAULIFU...HII TOPIC NI OLD NEWS...jus search vodacom hapa hapa jf muone wenyewe...this is how business is done in Africa by Multinationals..using political connections is the norm...if you guys where in rostams shoes u wud have done the same..humu ndani kumejaa wachovu wasio na biashara tanzania there i said it...yal are forgeting how the game is plaid!!..its good to be patriotic lakini wengi wenu hamjatoa arguement za maana as to why we shud boycott..siasa nyiiingi na accusations kibao...comparisons to kenya are irrelevant and there is no proof of that supermarket boycott lunyungu was referring to..kenya hadi leo hawajui local shareholders wa safaricom its most profitable company...vodacom wamewawekea waaazi do u guys have proof on how the shares were obtained hau mnalopoka tuu hapa??tuwe makini jamani...this is one of the reasons im slowly loosing touch with this forum..concrete threads zinapungua sana..
 
Kapinga ungalikuwa very wise kama ungalitoa haya uliyo yatoa na ukaweka sawa ukweli .Ndiyo maana tuko hapa .Nawe ukisema na kuondoka na unalilo lijua nadhani utakuwa hujafanya lolote .Concrete threads alete nani ? Una wajibu wa kuleta if you feel like .

Kenya unabisha bure na watu tumeona wenyewe .Wakati wa Mgogoro it was very spread kwamba watu wanagomea bidhaa katika supermarkets kwa kuwa Wakikuyu wana ties na Kibaki , na hata Kibaki he went public na kulaani kwamba Uchimi utakufa .Kama hukuwa unajua uliza .We are not talking about Safaricom.Unaongea kama vile umeguswa pabaya mkuu.Sema unalo jua usaidie watu kuelewa vinginevyo tupishe tuendelee na kampeni .
 
Lunyungu,

Vipi umeme wa IPTL na Richmond tususie pia kuwakomoa "mafisadi'

Some time unaingia hapa JF unasome post za watu unashindwa kuelewa wakati mwingine mtu anamchukia mtu na anashindwa kufikiri.

Katika umeme ni jinsi gani tunaweza kujua huu tunaotumia unatokana na vyanzo vya maji au Richmond au IPTL? Wote hawa wanasupply kwa TANESCO naye ndo anatusambazia sisi. Sasa tuambie ni jinsi gani tunaweza kuu-isolate mojawapo kati ya hiyo. Unapoamua kugomea kitu, lazima pia uangalie alternative sasa wewe ukitaka tuache kutumia umeme unashauri tutumie nini?Koroboi au mishumaa? Vodacom kuna choice nyingine.
 
Back
Top Bottom