Mbase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,054
- 4,604
Lakini hiyo haitoi ukweli kuwa Utumwa unapigwa zaidi vita Ulaya kuliko sehemu nyingine yote duniani. Ulichokiweka hapo kinaunga mkono baadhi ya comment iliyoonyesha kina Abushiri na Mkwawa na waarabu hawakupenda biashara iishe.
Siku zote wazungu hawawezi kuwa Kafir angalia yanayotokea mashariki ya kati wakimbizi wote wanapita nchi tajiri kama Saudia kuwsit Qatar wananusuru maisha waende Ulaya na wakifika wanapewa hifadhi nzuri na baadae wanajifanya wanataka haki kuanzisha misikiti nchi za watu na wsnaruhusiwa. Nchi gani ya kiarabu itakuruhusu ujenge utitiri wa makanisa.
Huo ndiyo ukweli lakini hutaki kuusikia. Mimi siyo muumini wa dini hizi za kuletwa ila nawashangaa sana mnaowstetea waarabu kwa kisingizio cha dini. Ha wanyama hawana dini ni washenzi tu.