Kama hujui ni bora ukae kimya. Utumwa wa Transatlantic ulifanywa na missionaries na wafanya biashara wa nchi za,magharibi. Ulaya hawakuwako waafrika wengi sababu. Wazungu walshagawana mashamba katika visiwa vya Carribean, Pacific n East and West Indies. Zikiwemo America ya Kusini hasa Brazil. Marekani haikuitwapo Virgin land ikiitwa New Foundland.
Bristol merchant Cranfield Becher's notebook shows how slaves were treated | Daily Mail Online
Soma habari za hii kampuni ya uko wa Ufalme wa UK:
The Royal Africa Company iliasisiwa mwaka 1660
Hawa walikuwa na monopoly ya kuingiza na kuuza watumwa nchini Uingereza na hasa Bristol kiasi kwamba katika karne ya 13 kukawa na malalamiko makubwa kutoka kwa Umoja wa Wafanya Biashara uloitwa Society of Merchant Ventures. Malalamiko ya kwanini wapewe hao mamlaka pekee ya hiyo biashara.
Sultan wa Oman aliingia East Cost of Africa katika 1729 na kuwamaliza wareno walokuwa wakitesa, kuwauwa na kuwanyanyasa wenyeji wa Afrika Mashariki kuanzia Mombasa mpaka Msumbiji.