Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa najiuliza,
'
Unapoomuuza binadamu mwenzako unakua unafikiria nini?
gharama za vita ni visu vya kuchongea upinde na mishale
Haya yalihalalishwa , kwa imani waliyokuwa nayo hawa akina Abushir, Mkwawa,Kinje and the sort. Walimini hao jamaa hawakuwa na ustaarabu wao basi thamani yao nayo ilikuwa km ya wanyama.Ubinafsi, ukatili na roho ya mauaji ya binadamu!. Hakuna zaidi.
Mkwawa,alipora sana vitu vya wengine,ambao aliwaona km inferior.Mbaya zaidi aliua na nguvu kazi zao. Matokeo yake akawa kaua hiyo project.Unapowahujumu hata watumwa wako wasiweze zalisha ukidhani unaongeza hela na kuwadhoofisha. Haya yote yalikuwa overhead kwa mkwawa aliyeongozwa na imani kwamba wengine ni makafir na hivyo ni bidhaa ambazo atahitaji kuzichukua iwezekanavyo na yeyote atakemzuia ni kwamba anaona wivu au anataka chukua yeye.Siyo kweli. Unaongelea upande wa silaha moja wapo.
Kumbuka wapiganaji walikaa vitani wakipata huduma za vyakula, vinywaji na madawa. Huko hakukuwa na uzalishaji.
Haha, ila umekuwa mbinafsi makusudi utakuwa mnazi fulani. wazungu...waarabu umewaacha wapi,wahindi na waajemi? HIyo propaganda ndio imetumika kuficha hawa machifu.Kwa vile kamwe kuna watu hawataki waarabu waguswe kwa vile itaondoa hii scum ya mashujaa hewa.Kusema ukweli...katika biashara hii haramu, pande zote tatu hazikimbii lawama...
1. Machifu (waafrika)
2. Wachuuzi (waarabu)
3. Wanunuzi (Wazungu)
Kila upande ulicheza upande wake katika kutimiza biashara hiyo haramu..
Pesa...Huwa najiuliza,
'
Unapoomuuza binadamu mwenzako unakua unafikiria nini?
Kuna roho ya kishetani zaidi. Ndio maana Leo wapo wanoaua watu,wanaopigana vita zisizo na malengo na hivyo hazina mwisho. Wengine watakuambia ni Pesaa ila wanaopigana,na kufa wanajua pesa hawatozipata. Ila roho ya damu inawaita kwa nguvu sana.Sababu zote ni uongo,ndio maana wamepigana vita karne na karne hadi kazaliwa adui mwingine.Pesa...
Pesaaaa.......
Pesaaaaaaaaaa......!!!!
mtu km mimi?Ingekuwa mtu mwingine ungeomba msamaha?Angekuwa wa familia yako,mnaofaidi jasho wa tanzania, kwa sifa ambayo mlifanya kinyume?
...Bwana Nicholas narudi tena kukuelimisha vitu vidogo sana ila kwako inaweza kuwa maarifa makubwa.
Naomba uielewe dunia kuwa kuna mabadiliko mbalimbali hutokea kimwili mpaka kiakili,ustaarabu katika dunia nao hubadilika,
Zamani unazoongelea we we ilikuwa kipindi cha utumwa na usidhani kuwa utumwa ulikuwa ulaya au uarabuni tu,hata afrika ulikuwepo hii ilikuwa kipindi cha internationalism,kama unavyoona sasa ni kipindi cha utandawazi
Sheria za kipindi kile zilikuwa zinaruhusu kuwa na watumwa au kuwamiliki watumwa.hii ni biashara ya dunia nzima ,bahati mbaya naamini babu zako walikuwa watu dhaifu wakawa wanabebwa kupelekwa utumwani,naamini hata wamalawi nao wangekuwa organized kama makabila ya akina mkwawa wasingeweza kuepuka hii biashara kuwabeba waliodhaifu zaidi yao.
Tena haikuwa biashara ya utumwa tu kulikuwa kuna pembe za ndovu,ngozi ya chui,kucha za sima na bidhaa mbalimbali ambazo Leo zimepigwa marufuku kipindi hicho ilikuwa ni biashara ya kawaida
Hata dini yako ya myahudi na torati ilikuwa inaruhusu watu kumiliki watumwa na ikifika mwaka Wa 7 unatakiwa umwachie huru.nani sasa kaka alikuwa msafi?(kasome kumbukumbu ya torati)
Kinachowafanya akina mkwawa na wengine waonekane mashujaa ni kwamba walikuwa wanapigania Uhuru Wa kuishi bila kuingiliwa na wazungu.walikuwa wanapinga ukoloni ndio maana tunawaita mashujaa ,ila biashara ya utumwa ilikuwepo dunia nzima na dini zote 2 zilihalalisha sio uislam au ukristo au uyahudi labda ubudha tu
Kwa mujibu wa historia niliyosoma, mwanzoni wazungu walikuwa wanawachukua wahindi wekundu utumwani na kuwalimisha mashamba yao huko marekani. Lakini Wahindi wekundu walikuwa ni dhaifu hivyo utumwa ukageukia AfrikaNi binadamu gani tofauti ma mweusi aliwahi kuchukuliwa kutolewa eneo moja kwenda lingina na kuuzwa?
Hakuna shujaa hapo walikuwa wanatetea biashara yao ya utumwa. Ndio maana walikuwa marafiki wakubwa wa waarabu(mabosi wa biashara ya utumwa) na kujenga uadui na wazungu ambao walikuwa wanaipinga biashara hiyo japokuwa wazungu nao hawakuwa wanaipinga kwa wema bali kuwakomoa waarabu na kupunguza nguvu za utawala wa machifu na watemi ambao uchumi wao ulitegemea hiyo biashara. Kama mnapingana na hili si mtuambie hao watemi, machifu na masultani walikuwa na biashara gani kubwa zaidi ya biashara ya utumwaUnakubaliana na Mheshimiwa Nicholas kuhusiana na hizi tuhuma za kushiriki biashara ya kuuza watumwa mashujaa wetu Mirambo,Mkwawa,Ab shiri ambao kabla ya bandiko hili walistahili kuitwa mashujaa lakini baada ya bandiko hili tunaweza kuwaita makuwadi,madalali au wahalifu wa utu wa mwanadamu.
Sheikh wangu Mohamed Said nilikuwa naomba maoni yako je unakubaliana na mleta hoja au unazikata na kama unakataa ni vyema ukatuwekea hoja za kupinga zisizona na ukakasi.
Trans Atlantic slave tradeHakuna shujaa hapo walikuwa wanatetea biashara yao ya utumwa. Ndio maana walikuwa marafiki wakubwa wa waarabu(mabosi wa biashara ya utumwa) na kujenga uadui na wazungu ambao walikuwa wanaipinga biashara hiyo japokuwa wazungu nao hawakuwa wanaipinga kwa wema bali kuwakomoa waarabu na kupunguza nguvu za utawala wa machifu na watemi ambao uchumi wao ulitegemea hiyo biashara. Kama mnapingana na hili si mtuambie hao watemi, machifu na masultani walikuwa na biashara gani kubwa zaidi ya biashara ya utumwa
Umeelezea vzr ila tukubaliane hawa machifu hawakuwa na lengo la kumkomboa mwafika bali kulinda biashara na tawala zao zisitekwe na wazunguBwana Nicholas narudi tena kukuelimisha vitu vidogo sana ila kwako inaweza kuwa maarifa makubwa.