MKWEPU JR: Mgonga "Like" bora wa muda wote JamiiForums

MKWEPU JR: Mgonga "Like" bora wa muda wote JamiiForums

Mufti kuku The Infinity

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
6,053
Reaction score
10,032
Habari zenu na poleni kutokana na jitihada za kujikinga na ugonjwa wa kukosa pumzi

Huyu jamaa mkwepu nimetokea kumpenda bure tu jamani
yaani kila post au koment nayoiona mjamaa kashaitembelea tayari
yaani ni spidi ya the flash 😁( prove me wrong)

Hebu bwana Mkwepu jitokeze utupe siri ya mafanikio yako

Nb:Kwenye uchunguzi wangu nimegundua pia "Kiduku lilo" ndio pedeshee bora wa muda wote humu Jf
 
Habari zenu na poleni kutokana na jitihada za kujikinga na ugonjwa wa kukosa pumzi

Huyu jamaa mkwepu nimetokea kumpenda bure tu jamani
yaani kila post au koment nayoiona mjamaa kashaitembelea tayari
yaani ni spidi ya the flash [emoji16]( prove me wrong)

Hebu bwana Mkwepu jitokeze utupe siri ya mafanikio yako

Nb:Kwenye uchunguzi wangu nimegundua pia "Kiduku lilo" ndio pedeshee bora wa muda wote humu Jf
mkwepu jr
 
Na Mgonga Like kashagonga like comments zenu zooote.

Screenshot_20210305-131346.jpg

Na hata hii yangu najua atagonga very soon[emoji28]

Unforgetable
 
mkwepu jr yeye haongei ata ufanyeje. Ashaombwa sana ajitokeze ata inbox hajibu. Kuna hoax kwamba simu anayotumia haina keyboard.

Kuna baharia Mgonga Like bora huyu mwamba sometimes anaongea chochote.

Yote heri maisha yanaenda tu.
eti haina keyboard
kwa hio ni mwendo wa kugonga like tuu šŸ˜„šŸ˜„
 
Back
Top Bottom