MKWEPU JR: Mgonga "Like" bora wa muda wote JamiiForums

MKWEPU JR: Mgonga "Like" bora wa muda wote JamiiForums

Habari zenu na poleni kutokana na jitihada za kujikinga na ugonjwa wa kukosa pumzi

Huyu jamaa mkwepu nimetokea kumpenda bure tu jamani
yaani kila post au koment nayoiona mjamaa kashaitembelea tayari
yaani ni spidi ya the flash 😁( prove me wrong)

Hebu bwana Mkwepu jitokeze utupe siri ya mafanikio yako

Nb:Kwenye uchunguzi wangu nimegundua pia "Kiduku lilo" ndio pedeshee bora wa muda wote humu Jf
Aisee kuna mtu anaitwa raraa reree ni kama robot kabla hujamaliza kuandika kasha like....😄😄😄
 
Back
Top Bottom