MKWEPU JR: Mgonga "Like" bora wa muda wote JamiiForums

MKWEPU JR: Mgonga "Like" bora wa muda wote JamiiForums

Extrovert , asipocheka ananiharibia siku. Nampenda sana na kumuheshimu sana, he is very humble and loving. Huyu jamaa ni miongoni mwa watu wachache sana wa JF ninaotamani nionane nao.
Napenda alivyo mchambuzi maridadi wa magari, mpenzi wa GTI, hataki Mambo makubwa, yeye ni wa Saitama, Tokyo, Kumamoto, and the like cities.
Bonge la mtu wangu wa nguvu, much respect to him
Asante kwa comment nzuri hakika nimefarijika sana na nitaendelea kumwaga nondo tu kadri mungu amenijalia. By the Way sijataka kuharibu siku yako pia mkuu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom