Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂
hahahahhhhhhNaam! Jamaa anatembeza Likes kama njugu mawe.
Kudos kwake.
Asante kwa comment nzuri hakika nimefarijika sana na nitaendelea kumwaga nondo tu kadri mungu amenijalia. By the Way sijataka kuharibu siku yako pia mkuu 😂😂😂Extrovert , asipocheka ananiharibia siku. Nampenda sana na kumuheshimu sana, he is very humble and loving. Huyu jamaa ni miongoni mwa watu wachache sana wa JF ninaotamani nionane nao.
Napenda alivyo mchambuzi maridadi wa magari, mpenzi wa GTI, hataki Mambo makubwa, yeye ni wa Saitama, Tokyo, Kumamoto, and the like cities.
Bonge la mtu wangu wa nguvu, much respect to him
I salute youAsante kwa comment nzuri hakika nimefarijika sana na nitaendelea kumwaga nondo tu kadri mungu amenijalia. By the Way sijataka kuharibu siku yako pia mkuu 😂😂😂
Kwa rurenge karibu na mbuyuni[emoji23]Pamoja sana wa stendi ya buza!
Kumbe mkuu wewe ndio mtaalamu wa kutabasamu...Asante kwa comment nzuri hakika nimefarijika sana na nitaendelea kumwaga nondo tu kadri mungu amenijalia. By the Way sijataka kuharibu siku yako pia mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
we jamaa una akili kubwa.lakini sidhani Kama ataingia kingi kilaini,akomenti.
Kwa nini mkuuwe jamaa una akili kubwa.lakini sidhani Kama ataingia kingi kilaini,akomenti.
Chenye uchebe kabisa😁😂Ana kidevu kizuurii!
Siku hizi ana comment. Sema uzi wa Wazee wa Kubeti tu.mkwepu kama mkwepu 😁😁
Hatar😁Siku hizi ana comment. Sema uzi wa Wazee wa Kubeti tu.