Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
mkwepu jrHabari zenu na poleni kutokana na jitihada za kujikinga na ugonjwa wa kukosa pumzi
Huyu jamaa mkwepu nimetokea kumpenda bure tu jamani
yaani kila post au koment nayoiona mjamaa kashaitembelea tayari
yaani ni spidi ya the flash [emoji16]( prove me wrong)
Hebu bwana Mkwepu jitokeze utupe siri ya mafanikio yako
Nb:Kwenye uchunguzi wangu nimegundua pia "Kiduku lilo" ndio pedeshee bora wa muda wote humu Jf
mkwepu jr yeye haongei ata ufanyeje. Ashaombwa sana ajitokeze ata inbox hajibu. Kuna hoax kwamba simu anayotumia haina keyboard.
Kuna baharia Mgonga Like bora huyu mwamba sometimes anaongea chochote.
Yote heri maisha yanaenda tu.
jamaa ni invisible πmkwepu jr yeye haongei ata ufanyeje. Ashaombwa sana ajitokeze ata inbox hajibu. Kuna hoax kwamba simu anayotumia haina keyboard.
Kuna baharia Mgonga Like bora huyu mwamba sometimes anaongea chochote.
Yote heri maisha yanaenda tu.
aiseehuyu Mkwepu ni mtu asiyejulikana,jamaa ata kucoment hataki
eti haina keyboardmkwepu jr yeye haongei ata ufanyeje. Ashaombwa sana ajitokeze ata inbox hajibu. Kuna hoax kwamba simu anayotumia haina keyboard.
Kuna baharia Mgonga Like bora huyu mwamba sometimes anaongea chochote.
Yote heri maisha yanaenda tu.
Ni nani uyo sijamzingatia.. Hahahhaakuna watu wana vituko..na kuna mwingine yeye ni kucheka kila comment, ni suala la muda tu atajitokeza kwenye uzi huu