MKWEPU JR: Mgonga "Like" bora wa muda wote JamiiForums

na kuna mwingine yeye ni kucheka kila comment, ni suala la muda tu atajitokeza kwenye uzi huu
Extrovert , asipocheka ananiharibia siku. Nampenda sana na kumuheshimu sana, he is very humble and loving. Huyu jamaa ni miongoni mwa watu wachache sana wa JF ninaotamani nionane nao.
Napenda alivyo mchambuzi maridadi wa magari, mpenzi wa GTI, hataki Mambo makubwa, yeye ni wa Saitama, Tokyo, Kumamoto, and the like cities.
Bonge la mtu wangu wa nguvu, much respect to him
 
Kuna njemba nyingine yanyewe inaishia kusema
'Noma sana'
liwe tukio zuri baya yy ni noma sana
sijui huwa ni mke wa mtu yule.....
muda mwingi anakuwa anapika pika nadhani.....
hanaga muda wa ku comment
Kimtaa mtaa wangembabatiza Jina la "noma sana''.

Na hii ipo sana,kuna wana wamebabatizwa majina kutokana na matumizi yaliyopitiliza ya maneno flani.

Niliwahi msikia Izzo Business, kuwa "Izo" ni matokeo ya matumiz yaliyopitiliza ya Neno Izo
 
Asnte mkuu tuko pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli hana shida na mtu, kiufupi yuko smart and humble
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…