Mkwepu Jr The Creep

Mkwepu Jr The Creep

Leo nakutana na mama yako nitafungaje sasa ?
Ntafunga kesho nikishampa hela yako ya karo.
Hahaaa mm sijai upepo kiivyo mzeee,
unahisi kumtaja Mama nitajaa?
Wewe wala sitakutukana maana sipo hivyo ila nitahakikisha unapigana na vibakuli hapo, na usije ukakimbia uzi wako.

Vipi Mkuu Umekula makebichi?😝😝😝😝😝
 
Hahaaa mm sijai upepo kiivyo mzeee,
unahisi kumtaja Mama nitajaa?
Wewe wala sitakutukana maana sipo hivyo ila nitahakikisha unapigana na vibakuli hapo, na usije ukakimbia uzi wako.

Vipi Mkuu Umekula makebichi?😝😝😝😝😝
Hujajaaa upepo halafu bado unabishana na mimi ?
Teh teh teh, wewe lazima utakuwa unanikubali sana ila huwezi kusema.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Anhaaa kuhusu makabichi leo hatuwezi kula kwasababu niko na ugeni mzito wa kukutafuatia wewe ada ya shule.
 
Back
Top Bottom