Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hakuna shida bwana[emoji1][emoji1]utaanza kuitwa mama mkwepu siyo muda(Joke)[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna shida bwana[emoji1][emoji1]utaanza kuitwa mama mkwepu siyo muda(Joke)[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa mm sijai upepo kiivyo mzeee,Leo nakutana na mama yako nitafungaje sasa ?
Ntafunga kesho nikishampa hela yako ya karo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nami nakupenda ila nashindwaga tu kukuambia![emoji1787][emoji1787] Ndio hapo
Kama vile unavyonipendaga mimi apa![emoji41][emoji41][emoji41]Mimi nampendaga [emoji847][emoji847][emoji847]
Hujajaaa upepo halafu bado unabishana na mimi ?Hahaaa mm sijai upepo kiivyo mzeee,
unahisi kumtaja Mama nitajaa?
Wewe wala sitakutukana maana sipo hivyo ila nitahakikisha unapigana na vibakuli hapo, na usije ukakimbia uzi wako.
Vipi Mkuu Umekula makebichi?😝😝😝😝😝
Hapana wewe nakuogopa unakuwaga na ligi mpaka watu wanakimbia thread zaoNami nakupenda ila nashindwaga tu kukuambia!
Moyo unanidunda kwa kasi utadhani unaunga juhudi za awamu hii!
Nionee huruma mwenzio ntajakufa kwa kabali la mapenzi yako!
Eeenh bwanaKama vile unavyonipendaga mimi apa![emoji41][emoji41][emoji41]
Jamaa anagonga LIKES hatari aiseeeMkwepu Jr jamaa yuko positive sana.
Hana mambo mengi but but he enjoys the convos in here that's why anatema likes tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huwa unajuaje kuwa kagonga likes kwenye nyuzi zote ?Yule hasomi kabisaa jamani, unaweza kuta nyuzi zote za siku nzima kagonga likes
Hapana wewe nakuogopa unakuwaga na ligi mpaka watu wanakimbia thread zao
ni ile "Eeeeh bwana"tena?[emoji1787]Eeenh bwana
🤣😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣the guy is cool bwana kama Rutashubanyuma tu sema ruta alikuwa bingwa wa kupost.Aisee bebe mwingine huyu hapa anampenda Mkwepu Jr
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kule ninapokukuta mmu unavyofukuzaga wenye thread zaosijakuelewa sweetie nyonga mkalia ini[emoji847]
Ligi gani hizo..??
Bado unaandika kimafumbo mi sijakuelewa yani sikuelewi!!Kule ninapokukuta mmu unavyofukuzaga wenye thread zao