INAUZWA Mlandizi : Kiwanja Cha Ukubwa wa Hekari 2 na Nyumba ya Wafanyakazi inauzwa

INAUZWA Mlandizi : Kiwanja Cha Ukubwa wa Hekari 2 na Nyumba ya Wafanyakazi inauzwa

Ni sawa kabisa
Huyu mwenye hii post nahis kama anacheza minds game, kwann?,for first time anaweka tangazo nilichukua namba ambayo aliweka ili tumtafte ila kwa bahati mbaya ukimpigia simu anasema yeye hana kiwanja hicho na hajui jambo lolote kuhusu kuuza kiwanja .
 
Ukiwa Unasoma POST uwe unaelewa na Unashika Maelekezo.

POST imeandika Kabisa NAMBA hiyo ni WHATSAPP ONLY.

Namba umeipga KAWAIDA wakati mtumiaji wa hiyo namba ni MFANYAKAZI wangu na hajui lolote kuhusu hili.

WALIOSOMA maelekezo wakaelewa WOTE tunawasiliana Whatsapp,

DARASANI watu hufeli sio kwasababu hawajui ila sababi hawasomi MAELEKEZO.

Rudia Kusoma MAELEKEZO hiyo namba nimeandika itumike ENEO GANI...
 
Back
Top Bottom