Hio nyumba sio ya milioni hata 4Hii ni mali safi kabisa.
Atakayefanikiwa kuipata hii mali atakuwa amelamba dodo mchangani.
Kwa haraka haraka.
Ekari moja hapo ni wastani wa 5milioni (hivyo ekari mbili ni 10milioni),
Nyumba hapo 15milioni.
Bei ya kibiashara ingekuwa ni 25milioni.
Nadhani mwenye mali anauza 10milioni huenda ana shida ya haraka (unless kuna kitu kingine hatukijui)
Sure, litapita na utashangaa limepitaje.ASANTE kwa Ushauri Mkuu, umeandika ukweli na wala sina pingamizi na yote uliyoandika Mkuu.
Lakini naamini litapita ndio Maana nikaandika MWISHO tar 20
Maana ulichokiandika nimekiona hata kwangu mwenyewe.
Nimeona BORA nifanye Mwisho Tar 20 tu kama nikikosa MTEJA niangalie Namna nyingine ya Kujikomboa katika Hili.
BANK nikienda Napewa hiyo 10m mapema Sana (nimeshawahi pewa kwa nyumba hiyo hiyo) tatizo la BANK ambalo linanifanya nisiende ni KIKWAZO ki 1 tu.Hio nyumba sio ya milioni hata 4
Hapo Kama Ana shida ya haraka aka kope bank .eneo lipo mlandizi au Moro
SweetyCandy Mkuu soma hapa juu kidogo Kuhusu Bank.BANK nikienda Napewa hiyo 10m mapema Sana (nimeshawahi pewa kwa nyumba hiyo hiyo) tatizo la BANK ambalo linanifanya nisiende ni KIKWAZO ki 1 tu.
TAX CLEARANCE
mkuu nina Vimeo TRA sio vya kawaida... nina Deni kwanza walinikuta Sina MASHINE ya EFD nikajaziwa FAINI ya 5M (Bila discussion na sikuepo ofisini)
System inasoma hiyo FAINI na kila nikienda kukadiriwa lazima nipunguze hilo deni.
Sina OFISI 1 nikienda leo TRA ILI ku clear viporo Vyote nipate TAX CLEARANCE itanilazimu kunitoka sio chini ya 4m and Above.
Sina Hiyo 4M na Sipo Tayari Kuhonga MTU ili nipewe hiyo TAX CLEARANCE ,Ndio maana nahangaika Kuuza tu MANUALY ila nina Chance za kupata Mkopo BANK wa hiyo pesa ninayoitaka BANK YYTE na MUDA wowote
Kikwazo ni hiyo TAX CLEARANCE watakayohitaji BANK iambatane na document zingine ndio inanipasua kichwa.
Bank kikwazo ni TAX CLEARANCE hizi microfinance wao marejesho yao ni ya WIKI WIKIThe bump naomba nikushauri nenda benki wakukopee halafu ukishapokewa utarudisha na watakurudishia shamba lako
Can you list hizo "document zingine"?Bank kikwazo ni TAX CLEARANCE hizi microfinance wao marejesho yao ni ya WIKI WIKI
Mfano OYA na wenzai type hizo wanataka rejesho kwa WIKI hawataki kwa mwezi.
Baadhi ya MICROFINACE Wanazopokea rejesho kwa MWEZI hawataki NYUMBA/ARDHI
wanataka GARI Yani mtu mwenye GARI sasa hivi ana uwanja MPANA wa kukopesheka kuliko mtu mwenye nyumba na kiwanja.
Wanasema ARDHI ina PROCESS kwenye kuishikilia kama DHAMANA tofauti na TRA GARI.
Leo hiii mtu mwenye IST chakavu anaweza pata mkopo wa 10m haraka sana kama ana BIASHARA kama yangu na document zingine.
Mtu mwenye nyumba na kiwanja Ni kazi kweli.
sasa hivi Baada ya Kunikuta hili ndio Nimegundua GARI ni la MUHIMU sana kuwepo katika circle yako, Shida za haraka haraka GARI linakuokoa Haraka Kuliko GHOROFA lililopo KARIAKOO.
1.Tax ClearanceCan you list hizo "document zingine"?