Mlango umefungwa hakujawahi kuwepo na safari ya mwezini

Mlango umefungwa hakujawahi kuwepo na safari ya mwezini

Helios 2 chombo chenye kasi zaidi kuwahi kuundwa kikiwa na mwendokasi wa 252,800 km/h kiliundwa mahsusi kuchunguza mfumo wa jua.Voyager 2 kilifanikiwa kupita karibu kabisa na sayari ya Jupiter na kupiga picha, pamoja na picha ya dunia nje ya mfumo wa jua maarufu kama pale blue dot.Science never lie, Kama yote haya yamewezekana mpaka kutoka nje ya mfumo wa jua milions of kilometres, sembuse hapo mwezini iwe uongo?
Wanaozungumza hili sio mimi na wewe,ni wanasayansi wakubwa tangu miaka ya mwanzo ya mkasa huu. Sasa anayezungumza ni mtu mwenye vyombo vinavyojaribu kufanya safari ya mwezini.Kwa hali aliyoiona ana uhakika hili jambo halikuwezekana mwaka huo.Sasa kwa lugha hiyo ni rasmi Neil Armstrong na Marekani hawakufanya safari yoyote ya mwezini.
 
Elon anapambania hisa zake kwa kila namna
Kwa hili Elon Musk amekuwa mwiba kwa NASA.na kujua kuwa NASA waliidanganya dunia utaona watakavyopiga kimya kuhusu kauli ya kuwafedhehesha ya Elon Musk.
Kama ingekuwa hawakutudanganya basi wangeingia kwenye mpambano mpaka mahakamani na Elon Musk
Dalili kuwa elimu ya NASA ni duni sana kuhusu teknolojia za anga angalia mpaka leo wanabebwa kwenda na kurudi ISS ambayo wala haijajengwa karibu sana na mwezi.
 
Mwenyezi ni Mkubwa na daima uwongo hauwezi kukaa juu ya ukweli,
Gwiji mkuu wa teknolojia na safari za anga anayejitegema Ellon Musk ambaye pia ni mmiliki wa satelite za space X ameufunga mlango huo baada ya kusema safari ya kwenda mwezini mwaka 1969 ilikuwa ni kitu kisicho cha kawaida na ni kama kuishi muda wa mbele ambao mtu hajaufikia au kurudisha muda nyuma teknolojia ambazo hazijafikiwa.

Baada ya fedheha hiyo ya karne kwa Marekani gwiji huyo amesema yeye kwa sasa anayo teknolojia ya kufika huko na kwamba sasa tutakwenda mwezini na tayari ameshaunda chombo chenye uwezo wa kubeba mpaka tani 100 kupeleka mwezini. Baada ya kukamilika na matayarisho madhumuni ni kujenga mji maalum wa kitalii huko mwezini.

f166c52b55bd8b38bb6cd96ceade8943
Chai
 
Ila kweli swala la kusafir angani kwa miaka 40 duh ...ilikua Ni chai kama chai za masuala ya aliens wAlivolisha watu ..
 
Hapa huwa nahisi tulipigwa na wamarekani 😀
Kiukweli mimi nilifatiliaga ILA kuna baadhi ya maswali ambayo waliulizwa na yote waliyajibu libidi useme unapigwa kwenye kitu gani maana kuna contradictory points ambazo watu walizitoa na wao walijibu moja wapo kubwa ikiwa VAN ALLEN BELT na pia waliitolea ufafanuzi. Yote ya yote kuna waliondika kuwa ni faked sababu marekani walitaka kushindana na USSR, wengine wakasema walijaribu kudivert attention kutoka kwenye vita ya vietnam, wengine wakisema walijaribu kuboost NASA funding na mengineyo ILA ukifatilia zaidi wao kama wao ushahidi wanao
 
Mwaka 1969 Neil Armstrong binadamu wa kwanza kuweka mguu wake wa kushoto katika ardhi ya mwezi.Voyager 2 chombo kilochosafiri umbali mrefu zaidi hadi kutoka nje ya mfumo wa jua na kupiga selfie ya solar system baada ya kuwa safarini kwa zaidi ya miaka 40!

Pumba tupu
 
Huu Uzi haueleweki..mtoa mada na wachangiaji karibu wote wanaandika mambo ambayo yako kinyume nyume...hayajakamilika
 
Hawa wametuburuza mno gunduzi zao za kiteknolojia zinawavua mashati sasa.
Huu Uzi haueleweki..mtoa mada na wachangiaji karibu wote wanaandika mambo ambayo yako kinyume nyume...hayajakamilika

Hapa huwa nahisi tulipigwa na wamarekani 😀
Tulipigwa sana. Kuna masheikh wenzangu nao walijitia kujua ikawa wanasimulia tukio hili kumbe sifuri kabisa .Na hapa baada ya mlango kufungwa bado kuna watu wanatetea uongo.
Alipokuwa raisi Clinton aliwahi kuulizwa kuhusu uelewa wake wa safari ya mwezini akajibu kistaarabu kuwa amesikia tu kuhusu safari hiyo lakini hana uhakika nayo.
 
Wazungu .mambo mengi wanatudanganya hasa yale ambayo wanajua Ni ngumu kuyafikia ...hata ukiangalia video zao za nasa hazina tofaut na movie za Hollywood 😃that why kila movie yao aliens wakishuka duniani bhc lazima washukie USA
 
Quran imeandikwa life iko hapa duniani ila wao wanapinga na kuanza theory za viumbe wa mars cjui Jupiter na zote Ni theory hakuna aliesibitisha uhai Zaid ya hapa earth
 
Mwaka 1969 Neil Armstrong binadamu wa kwanza kuweka mguu wake wa kushoto katika ardhi ya mwezi.Voyager 2 chombo kilochosafiri umbali mrefu zaidi hadi kutoka nje ya mfumo wa jua na kupiga selfie ya solar system baada ya kuwa safarini kwa zaidi ya miaka 40!
Mwezini hakuna upepo vipi benderaa ipepee fuatilia hili sakata mitandaoni ndio utajua
 
Mwaka 1969 Neil Armstrong binadamu wa kwanza kuweka mguu wake wa kushoto katika ardhi ya mwezi.Voyager 2 chombo kilochosafiri umbali mrefu zaidi hadi kutoka nje ya mfumo wa jua na kupiga selfie ya solar system baada ya kuwa safarini kwa zaidi ya miaka 40!
Umeandika pumba, kuna kitu chochote kinachoweza kuwepo nje ya mfumo wa jua??
Bila shaka A-level ulisoma EKA.
Huwezi kuwa umesoma gravitational laws halaf ukaandika hicho ulichokiandika.
 
Kujua kuwa hiyo selfie ya solar system ni uongo ni kuwa ili upige picha ya solar system inakulazimu utoke nje ya mfumo wa jua, na kanuni za gravitation hazikubaliani na hilo
 
Umeandika pumba, kuna kitu chochote kinachoweza kuwepo nje ya mfumo wa jua??
Bila shaka A-level ulisoma EKA.
Huwezi kuwa umesoma gravitational laws halaf ukaandika hicho ulichokiandika.
Aise sikujua kama kuna watu wajinga kiasi hiki! Kwa hiyo nje ya mfumo wa jua hakuna kitu? Unajua Universe ni nini? Unajua galaxy ni nini? Huo mfumo wa jua wenyewe ni kama nukta kwenye galaxy ya milk way na kuna mifumo zaidi ya bilions nje ya mfumo wa jua,na kina billions of galaxies! Mambo mengine unatakiwa uulize uelimishwe sio kuanza kubisha vitu obvious! Unatia aibu!
 
Back
Top Bottom