Mlango umefungwa hakujawahi kuwepo na safari ya mwezini

Inasikitisha sana kuona watu na mataifa yaliyoendelea yanazungumza future technology sisi bado tupo busy kuhoji mambo ya 1969! Watu wanatafiti mambo ya dark matters, dual particle relations itakayomwezesha binadamu ku co-exist na kuteleport, Lakini bado kuna pimbi za 3rd world country zinahoji mambo ambayo tulishayaacha 1969! Ni sawa na kuturudisha katika zama za simu za kuzungusha wakati tupo katika smart-world!
 
Wanaozungumza hili sio mimi na wewe,ni wanasayansi wakubwa tangu miaka ya mwanzo ya mkasa huu. Sasa anayezungumza ni mtu mwenye vyombo vinavyojaribu kufanya safari ya mwezini.Kwa hali aliyoiona ana uhakika hili jambo halikuwezekana mwaka huo.Sasa kwa lugha hiyo ni rasmi Neil Armstrong na Marekani hawakufanya safari yoyote ya mwezini.
Namkubali sana Elon na Space X. Lakini bado sana hajaifikia NASA. Unadhani NASA imeanza lini na ineshafanya missions ngapi? Tena zingine kubwa kuliko hata hiyo ya kwenda mwezini kabla ya 1969! Nadhani Elon yupo kibiashara zaidi.
 
Mwenyezi ni Mkubwa na daima uwongo hauwezi kukaa juu ya ukweli,
Gwiji mkuu wa teknolojia na safari za anga anayejitegema Ellon Musk ambaye pia ni mmiliki wa satelite za space X ameufunga mlango huo baada ya kusema safari ya kwenda mwezini mwaka 1969 ilikuwa ni kitu kisicho cha kawaida na ni kama kuishi muda wa mbele ambao mtu hajaufikia au kurudisha muda nyuma teknolojia ambazo hazijafikiwa.

Baada ya fedheha hiyo ya karne kwa Marekani gwiji huyo amesema yeye kwa sasa anayo teknolojia ya kufika huko na kwamba sasa tutakwenda mwezini na tayari ameshaunda chombo chenye uwezo wa kubeba mpaka tani 100 kupeleka mwezini. Baada ya kukamilika na matayarisho madhumuni ni kujenga mji maalum wa kitalii huko mwezini.

f166c52b55bd8b38bb6cd96ceade8943
Wanawake ni viumbe vya ajabu sana kila mwezi vinafika huko mwezini bila kelele. Kimya kimya
 
Mwenyezi ni Mkubwa na daima uwongo hauwezi kukaa juu ya ukweli,
Gwiji mkuu wa teknolojia na safari za anga anayejitegema Ellon Musk ambaye pia ni mmiliki wa satelite za space X ameufunga mlango huo baada ya kusema safari ya kwenda mwezini mwaka 1969 ilikuwa ni kitu kisicho cha kawaida na ni kama kuishi muda wa mbele ambao mtu hajaufikia au kurudisha muda nyuma teknolojia ambazo hazijafikiwa.

Baada ya fedheha hiyo ya karne kwa Marekani gwiji huyo amesema yeye kwa sasa anayo teknolojia ya kufika huko na kwamba sasa tutakwenda mwezini na tayari ameshaunda chombo chenye uwezo wa kubeba mpaka tani 100 kupeleka mwezini. Baada ya kukamilika na matayarisho madhumuni ni kujenga mji maalum wa kitalii huko mwezini.

f166c52b55bd8b38bb6cd96ceade8943
sio muda mrefu utasikia mtu anasimulia kwamba dah jana nimeona watu wakata mauno kama wanacheza mziki wa diamond kwenye mwezi.
mara ElonMusk kakasirika anafunika mwezi unakuwa giza usiku wote tunatembea na tochi za simu. Dah
 
Inasikitisha sana kuona watu na mataifa yaliyoendelea yanazungumza future technology sisi bado tupo busy kuhoji mambo ya 1969! Watu wanatafiti mambo ya dark matters, dual particle relations itakayomwezesha binadamu ku co-exist na kuteleport, Lakini bado kuna pimbi za 3rd world country zinahoji mambo ambayo tulishayaacha 1969! Ni sawa na kuturudisha katika zama za simu za kuzungusha wakati tupo katika smart-world!
Hili jambo hujafuatilia kwa utulivu.Kwanza tunaohoji sio sisi dunia ya 3.Walianza magwiji wa sayansi za aina zote.Na huyu Elon Musk ndio kaona ukweli wake pamoja na wataalamu wake ambao wengine wana ushirikiano mkubwa na NASA.
Tunaweza kusema siri imevuja au ukweli umedhihirika.
 
Siyo Voyager 2 ilikuwa ni Apollo 11
Apollo 11 ni chombo kilichoenda mwezini, Nazungumzia Voyager I & II.Voyager I kilirushwa tangu mwaka 1977 kimetembea kwa mwendokasi wa 18km/s kwa miaka 45 na kimefikia umbali wa 23 billion km kutoka duniani na kimeshatoka nje ya solar system na ndicho chombo kilichotengenezwa na binadamu kilichowahi kufika mbali zaidi na cha kwanza kutoka nje ya mfumo wa jua kikiundwa kwa mission maalum ikiwemo kupeleleza anga za mbali, kupeleleza anga la jupiter ambapo ilipita karibu kabisa na Jupiter ikapiga picha kwa ukaribu kabisa, imepiga picha ya dunia kutoka nje ya solar system maarufu kama pale blue dot na kisha kufika umbali ambao haitaweza tena kutuma mawasiliano duniani wala haitawezekana tena kuicontrol hivyo kitaendelea kusafiri kusipojulikana huko ulimwenguni forever hata dunia itakapofika mwisho!
 
Niliona umemchanganya Armstrong na Voyager
 
Mwenyezi ni Mkubwa na daima uwongo hauwezi kukaa juu ya ukweli,
Gwiji mkuu wa teknolojia na safari za anga anayejitegema Ellon Musk ambaye pia ni mmiliki wa satelite za space X ameufunga mlango huo baada ya kusema safari ya kwenda mwezini mwaka 1969 ilikuwa ni kitu kisicho cha kawaida na ni kama kuishi muda wa mbele ambao mtu hajaufikia au kurudisha muda nyuma teknolojia ambazo hazijafikiwa.

Baada ya fedheha hiyo ya karne kwa Marekani gwiji huyo amesema yeye kwa sasa anayo teknolojia ya kufika huko na kwamba sasa tutakwenda mwezini na tayari ameshaunda chombo chenye uwezo wa kubeba mpaka tani 100 kupeleka mwezini. Baada ya kukamilika na matayarisho madhumuni ni kujenga mji maalum wa kitalii huko mwezini.

f166c52b55bd8b38bb6cd96ceade8943
Alisema
"safari ya kwenda mwezini mwaka 1969 ilikuwa ni kitu kisicho cha kawaida na ni kama kuishi muda wa mbele ambao mtu hajaufikia au kurudisha muda nyuma teknolojia ambazo hazijafikiwa."
Labda ungenionyesha sehemu aliyokanusha.

Zaidi nilichokielewa mimi ni kama ana admire kilichofanyika back then na ana promise kufanya kama and beyond kile. Sijaona ukanushaji mimi, au mwenzetu umekua Maimuna?

Achana na tafsiri yako ambayo inawezekana siyo kosa lako. Here us the whole story;

SpaceX and Tesla CEO Elon Musk said recently that the 1969 Apollo 11 Moon-landing mission was an “anomalous situation.”
What Happened: “The fact that we were able to go to the Moon in '69 was such an anomalous situation, it was like reaching into the future and bringing the technology forward,” said Musk on the "Full Send" podcast.

The landings, which saw Neil Armstrong become the first human to step on the lunar surface, were “not the natural pace of technology development,” according to the SpaceX founder.

“It’s just that the United States just collectively decided that this has got to be done,” Musk said, referring to the space race between the U.S. and the Soviet Union.

Why It Matters: Musk agreed with the podcast hosts that it was “weird” that the U.S. had not returned to the Moon’s surface since 1972.
"We’ll go to the Moon, SpaceX has an asset contract to take astronauts to the Moon," Musk said, adding that SpaceX’s super-heavy-lift launch vehicle Starship is “gigantic compared to anything that’s been done before.”
“It’s capable of putting 100 tons of payload on the Moon. You could build a Moon base with a Starship.”

Musk said, “We could go way beyond what was done with the Apollo program, where they had a small lander.”
SpaceX would take astronauts to the Moon before it took them to Mars, the billionaire entrepreneur said.

"I think we should build a city on the Moon and on Mars."
 
Ellon Musk kazungumza kiustaarabu kabisa kwamba hakuna safari ya mwezini mwaka 1969 na maneno aliyosema hayana tafsiri nyengine baada ya kuwepo na taarifa kama hizo kwa miaka mingi .Huo uelewa wako naona una kasoro sana.
Hebu tupe tafsiri yako pale aliposema the 1969 Apollo 11 Moon-landing mission was an “anomalous situation.” .
Tupe na tafsiri yako uoneshe uhodari wako wa kunyambulisha lugha ya kiiengereza aliposema it was “weird” that the U.S. had not returned to the Moon’s surface since 1972.
Mambo madogo yakitokea yanayohusu taasisi za kimarekani huwa yanatolewa ufafanuzi.Angalia NASA walivyokaa kimya baada ya maneno hayo ya Ellon Musk wakati hii safari ya mwezi ni jambo kubwa walilojidai nalo Marekani na waliutangazia ulimwengu mzima,
 
Ellon Musk kazungumza kiustaarabu kabisa kwamba hakuna safari ya mwezini mwaka 1969 na maneno aliyosema hayana tafsiri nyengine baada ya kuwepo na taarifa kama hizo kwa miaka mingi .Huo uelewa wako naona una kasoro sana.
Hebu tupe tafsiri yako pale aliposema the 1969 Apollo 11 Moon-landing mission was an “anomalous situation.” .
Tupe na tafsiri yako uoneshe uhodari wako wa kunyambulisha lugha ya kiiengereza aliposema it was “weird” that the U.S. had not returned to the Moon’s surface since 1972.
KWa hiyo mtu akisema haikua kawaida kwako maana yake haikuwahi kutokea?
 
Ukiwa hodari katika lugha na kutaka kumkanusha mtu humpi maneno ya wazi sana japo unakusudia hivyo.Na inategemea na aina ya hoja unayotoa.Kwa hili ambalo halikuanza leo na Ellon ana wataalamu wa anga wengine wakitokea NASA. Maneno yake hayo yana maana 1969 hakukuwa na kitu.Nashangaa wewe unang'angania porojo hizo za safari za mwezini.
 
Hiyo maana umeileta wewe.
Dunia yote ilipoamini Russia anaenda kuichukua Ukraine ndani ya wiki moja tena bila hata askari mmoja wa Russia kufa wala Rusdia kupoteza vifaa vyake. Hali ilipobadilika na watu kuona hii si kawaida na vita inaelekea mwaka sasa kwako maana yake hilo halijatokea kwasababu tu haikua kawaida?
 
Unachanganya mambo badala ya kutetea hoja ya safari ya mwezini. Wapi ilitangazwa hivyo kwamba watu wote waliamini Urusi inakwenda kuichukua Ukraine bila askari wake kufa hata mmoja .Kama huna chanzo hicho basi hiyo tafsiri ni yako peke yako. Naamini Mrusi hakusema hivyo
Zaidi ni kuwa Urusi ina uzoefu mkubwa wa vita vya muda mrefu na wanajuwa mazingira ya vita.Hawafuati ratiba za vita za watu ambao hata hawajawahi kupigana na yoyote yule.
 
Unachanganya mambo badala ya kutetea hoja ya safari ya mwezini. Wapi ilitangazwa hivyo kwamba watu wote waliamini Urusi inakwenda kuichukua Ukraine bila askari wake kufa hata mmoja .Mrusi hakusema hivyo
Zaidi ni kuwa Urusi ina uzoefu mkubwa wa vita vya muda mrefu na wanajuwa mazingira ya vita.Hawafuati ratiba za vita za watu ambao hata hawajawahi kupigana na yoyote yule.
Ona ulivyo na uelewa mdogo halafu unataka kututafsiria mambo kwa uelewa huo.
Nani amesema watu wote waliamini?. Mimi nimesema dunia, nikisema dunia haimaanishi na wewe lazima uwemo.

Halafu haya mambo ya uzoefu wa vita vya muda mrefu unajenga kutokana na hoja ipi kati ya niliyoyaandika mimi? Ndiyo maana nasema uelewa wako wa kimakengeza unataka kuutumia kutaka kutupotosha. Mimi nimeongelea jinsi dunia ilivyoamini, na ukumbuke Urusi mwenyeww ndiye alitangaza muda huo mfupi. Sasa hayo ya uzoefu wa muda mrefu wewe umeyatoa wapi?
 
Tafsiri hiyo umeitoa wapi kwamba ikitajwa dunia nzima mimi simo kati yao..Mpuuzi sana wewe.
NASA wenyewe wanajua ukweli na wanashindwa kujitetea,Utaweza wewe ?
 
Wewe jua tu kwamna watu wakisema dunia hawamaanishi wewe...bata we
 
Achana na dunia sasa ambayo mimi ni mmoja wao.Mbele yako mimi ni Simba. Kwa kukosa hoja juu ya safari za mwezini umenywea kama mtoto wa kondoo.Dunia nzima imeliona hilo na wewe mwenyewe ukiona.
 
Back
Top Bottom