Joseph Gadiel
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 407
- 713
Naomba wewe mwenye akili timamu uzitumie kunipa ABCUna akili timamu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba wewe mwenye akili timamu uzitumie kunipa ABCUna akili timamu?
Kwa bahati mbaya hata mimi pia sina akili timamu kama ulivyo weweNaomba wewe mwenye akili timamu uzitumie kunipa ABC
Basi kama hauna akili haukuwa na sababu ya kusumbua comment yangu bila sababu ya msingiKwa bahati mbaya hata mimi pia sina akili timamu kama ulivyo wewe
Ni kweli kabisa; sahihi kabisaBasi kama hauna akili haukuwa na sababu ya kusumbua comment yangu bila sababu ya msingi
Sio uwongonyie wabongo pambaneni kwanza kupata milo angalau miwili. huo uongo wa wazungu achaneni nao
Hadi leo hicho chombo kimeshagusa layer ya corona ya jua, wewe endelea kuamini vile ulivyoaminishwa na kukaririshwaIla kweli swala la kusafir angani kwa miaka 40 duh ...ilikua Ni chai kama chai za masuala ya aliens wAlivolisha watu ..
Ajabu sana mkuu, tunahoji hata vitu basic Kwenye scienceInasikitisha sana kuona watu na mataifa yaliyoendelea yanazungumza future technology sisi bado tupo busy kuhoji mambo ya 1969! Watu wanatafiti mambo ya dark matters, dual particle relations itakayomwezesha binadamu ku co-exist na kuteleport, Lakini bado kuna pimbi za 3rd world country zinahoji mambo ambayo tulishayaacha 1969! Ni sawa na kuturudisha katika zama za simu za kuzungusha wakati tupo katika smart-world!
Remotely controlled kutokea base iliyoko dunianiNilitaka kufahamu mbwa alifanya vipi kurudi? Usinichoke boss najaribu kufikiria tu KWA ufinyu wangu mdogo je mbwa aliendesha chombo kwenda na kurudi? Au walikuwa wanamuendesha wao kum control najaribu tu kufirikia jinsi mbwa alivyoenda huko. Kama utojali Mkuu nielezee japo kidogo walisema nini kwenye kitabu kuhusu mbwa alivyofanikiwa kwenda na kurudi?
Unaweza nionyesha source ya taarifa hii?Remotely controlled kutokea base iliyoko duniani
Teh teh , wakikujib unitagDaaah boss natamani kujua hao waislamu japo na mimi nijifunze. Kwanini hawakwenda waislamu mkuu wakati marekani na urusi wametoa maarifa KWA waislamu? Misingi ipi inakufanya useme hakuna aliyefika mwezini? Ungetupa sababu na vyanzo vya habari YAKO tuendelee kujifunza.
Duh,hii ilmu kubwa tuwekee sourceAlafu nasikia Armstrong huyu huyu ambaye tunaambiwa hakutimba mwezini , kwamba apollo ilivotua tu mwezin muhuni akasikia adhana uko uko mwezin aliens wanaadhin 😁😁😁 mwamba akaslimu hii story waamini wengi wameipokea kwa mikono miwili nachekaga sana
Hawa ndiyo wale miaka ya nyuma wakiambiwa kuwa kuna siku watu wataweka simu mifukoni na kutembea nazo na kuwasiliana wirelessly wakasema huo ni upunguani wakahitaji ushahidi! Wajinga kabisaAjabu sana mkuu, tunahoji hata vitu basic Kwenye science
Kumbuka aliepinga Ni elon musk na yeye anakampuni inayojishughulisha na masuala ya anga ...afu pia technology ina mipaka yake .sio kila kitu kinawezekana kwa kutumia technologyHawa ndiyo wale miaka ya nyuma wakiambiwa kuwa kuna siku watu wataweka simu mifukoni na kutembea nazo na kuwasiliana wirelessly wakasema huo ni upunguani wakahitaji ushahidi! Wajinga kabisa
Kumbuka aliepinga Ni elon musk na yeye anakampuni inayojishughulisha na masuala ya anga ...afu pia technology ina mipaka yake .sio kila kitu kinawezekana kwa kutumia technology
Nipe uongo wake walau miwil nieze mfahamu Kama wwkama mtu haumfahamu Elon Musk ndiyo unaweza kushtuka, Lakini kwa wengine tunaomfahamu vuzuri tunaijua akili yake.
Mtu anayepinga au kubisha kitu kitakachotokea anaweza akawa wa maana kwani hatujafika.Lakini yule anayehoji yaliyopita na kukawa hakuna ushahidi basi ndio shujaa kabisa. Dalili na ushahidi wote haioneshi kuwa Neil Armstrong na mwenzake walitua mweziniHawa ndiyo wale miaka ya nyuma wakiambiwa kuwa kuna siku watu wataweka simu mifukoni na kutembea nazo na kuwasiliana wirelessly wakasema huo ni upunguani wakahitaji ushahidi! Wajinga kabisa
Chief . Tumekuelewa utakachoUnachanganya mambo badala ya kutetea hoja ya safari ya mwezini. Wapi ilitangazwa hivyo kwamba watu wote waliamini Urusi inakwenda kuichukua Ukraine bila askari wake kufa hata mmoja .Kama huna chanzo hicho basi hiyo tafsiri ni yako peke yako. Naamini Mrusi hakusema hivyo
Zaidi ni kuwa Urusi ina uzoefu mkubwa wa vita vya muda mrefu na wanajuwa mazingira ya vita.Hawafuati ratiba za vita za watu ambao hata hawajawahi kupigana na yoyote yule.
Lakini kutua mwezini kunawezekana/haiwezekani?Mtu anayepinga au kubisha kitu kitakachotokea anaweza akawa wa maana kwani hatujafika.Lakini yule anayehoji yaliyopita na kukawa hakuna ushahidi basi ndio shujaa kabisa. Dalili na ushahidi wote haioneshi kuwa Neil Armstrong na mwenzake walitua mwezini
Kutua mwezini kumeshafanyika sana hivi karibuni.Mchina kachota dongo kabisa.Kilichokuwa ni shida ni kumtulisha mtu na kumrejesha mtu salama.Hilo halijafanyika mpaka sasa. Inakera sana kutoka taifa likatudanganya kwamba limeweza.Lakini kutua mwezini kunawezekana/haiwezekani?