Mlango umefungwa hakujawahi kuwepo na safari ya mwezini

Ila kweli swala la kusafir angani kwa miaka 40 duh ...ilikua Ni chai kama chai za masuala ya aliens wAlivolisha watu ..
Hadi leo hicho chombo kimeshagusa layer ya corona ya jua, wewe endelea kuamini vile ulivyoaminishwa na kukaririshwa
 
Ajabu sana mkuu, tunahoji hata vitu basic Kwenye science
 
Remotely controlled kutokea base iliyoko duniani
 
Teh teh , wakikujib unitag
 
Duh,hii ilmu kubwa tuwekee source
 
Ajabu sana mkuu, tunahoji hata vitu basic Kwenye science
Hawa ndiyo wale miaka ya nyuma wakiambiwa kuwa kuna siku watu wataweka simu mifukoni na kutembea nazo na kuwasiliana wirelessly wakasema huo ni upunguani wakahitaji ushahidi! Wajinga kabisa
 
Hawa ndiyo wale miaka ya nyuma wakiambiwa kuwa kuna siku watu wataweka simu mifukoni na kutembea nazo na kuwasiliana wirelessly wakasema huo ni upunguani wakahitaji ushahidi! Wajinga kabisa
Kumbuka aliepinga Ni elon musk na yeye anakampuni inayojishughulisha na masuala ya anga ...afu pia technology ina mipaka yake .sio kila kitu kinawezekana kwa kutumia technology
 
kama mtu haumfahamu Elon Musk ndiyo unaweza kushtuka, Lakini kwa wengine tunaomfahamu vuzuri tunaijua akili yake.
Kumbuka aliepinga Ni elon musk na yeye anakampuni inayojishughulisha na masuala ya anga ...afu pia technology ina mipaka yake .sio kila kitu kinawezekana kwa kutumia technology
 
Hawa ndiyo wale miaka ya nyuma wakiambiwa kuwa kuna siku watu wataweka simu mifukoni na kutembea nazo na kuwasiliana wirelessly wakasema huo ni upunguani wakahitaji ushahidi! Wajinga kabisa
Mtu anayepinga au kubisha kitu kitakachotokea anaweza akawa wa maana kwani hatujafika.Lakini yule anayehoji yaliyopita na kukawa hakuna ushahidi basi ndio shujaa kabisa. Dalili na ushahidi wote haioneshi kuwa Neil Armstrong na mwenzake walitua mwezini
 
Chief . Tumekuelewa utakacho
 
Lakini kutua mwezini kunawezekana/haiwezekani?
 
Lakini kutua mwezini kunawezekana/haiwezekani?
Kutua mwezini kumeshafanyika sana hivi karibuni.Mchina kachota dongo kabisa.Kilichokuwa ni shida ni kumtulisha mtu na kumrejesha mtu salama.Hilo halijafanyika mpaka sasa. Inakera sana kutoka taifa likatudanganya kwamba limeweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…