Mlango umefungwa hakujawahi kuwepo na safari ya mwezini

Waende mara ngapi? Hivi unafuatilia vyema habari za anga au unakisia kisia?

Baada ya hao wanaisemekana kitua mwezini ni watu gani wengine wamewahi kitua mwezini??--- nazungumzia watu kutua mwezini na sio chombo kitua mwezini.
 
Ami sheikh wetu ila angeenda mwezini muiran sawa!!!Kaenda mmarekani ishakua nongwa!!!!Duuuuh ubaguzi mgonjwa mubaya sana sheikh
Suala sio nani aende.Suala hapa ni udanganyifu mkubwa kuwahi kufanywa na taifa kubwa.
Kwa upande mwengine ni kweli waislamu wenye asili ya Iran na maeneo mengine ndio hao miongoni mwa walimu wa mwanzo wa masuala ya anga ukiwemo mwezi.Kuna kipindi wakati wakoloni waliposhika mamlaka ya dunia walirudi nyuma sana.
Marekani na Urusi wasingejuwa tofauti ya nyota na sayari na wapi upo mwezi kama si waislamu.Kepler na Copernicus walikuja kuyaendeleza tu na kuchapisha yale waliyosoma kwa waislamu.
Hapo najuwa utapata mshangao mkubwa.
 
Kaka takbir naona unajitahidi kuteletea mada za misikitini ya wavaa kanzu fupi!!!!Kila kitu walianzisha wao
 
Umeambiwa na nani? Habari za NASA unazifuatilia? Yaani vyombo vifike Mars mpaka Jupiter huko alafu washindwe kufika hapo mwezini??
Hujafuatilia mjadala tangu mwanzo.Tunazungumzia safari ya mwezini mwaka 1969 haikuwepo.Tulidanganywa.Sio vyombo kufika mwezini.
 
Kaka takbir naona unajitahidi kuteletea mada za misikitini ya wavaa kanzu fupi!!!!Kila kitu walianzisha wao
Wewe ndio unadhani ni habari za misikitini.Waulize hao unaowaamini watakupa ukweli.Muulixr mfalme Charles
 
Nyie hamna jipya mna husda na wivu kwa watu wa dini nyingine!!!Kaka story za miskitini hizo za kujifariji na kupondea dini za watu wengine especially umma wa wakrsto
 
Naona unataka kubadili mada ambayo wala haikuwa madhumuni yetu.Tunachofanya ambacho ndicho kinachotakiwa ni kuwa wakweli kwa kila tunachokifanya.
 
Ukweli upi kaka unataka kutudanganya kwa story zenu za kwenye miadhara!!
 
Baada ya hao wanaisemekana kitua mwezini ni watu gani wengine wamewahi kitua mwezini??--- nazungumzia watu kutua mwezini na sio chombo kitua mwezini.
Who Walked on the Moon?
  • Neil Armstrong (1930-2012)–Apollo 11.
  • Edwin "Buzz" Aldrin (1930-)–Apollo 11.
  • Charles "Pete" Conrad (1930-1999)–Apollo 12.
  • Alan Bean (1932-2018)–Apollo 12.
  • Alan B. Shepard Jr. ( ...
  • Edgar D. Mitchell (1930-2016)–Apollo 14.
  • David R. Scott (1932-)–Apollo 15.
  • James B. Irwin (1930-1991)–Apollo 15.
 
  • James B. Irwin (1930-1991)–Apol.
Hakuna hata mmoja aliyefika mwezini katika hao.Siku hizo 1969 hata vyombo vya kutua mwezini ilikuwa bado.Viko vilivyoruka mpaka karibu yake na kufanikiwa kupata picha pekee.Vyombo vilivyotua ni miaka ya hivi karibuni.
 
Who Walked on the Moon?
  • Neil Armstrong (1930-2012)–Apollo 11.
  • Edwin "Buzz" Aldrin (1930-)–Apollo 11.
  • Charles "Pete" Conrad (1930-1999)–Apollo 12.
  • Alan Bean (1932-2018)–Apollo 12.
  • Alan B. Shepard Jr. ( ...
  • Edgar D. Mitchell (1930-2016)–Apollo 14.
  • David R. Scott (1932-)–Apollo 15.
  • James B. Irwin (1930-1991)–Apollo 15.

Tangu Apollo 15 hadi leo ni miaka 52 (nusu karne)😏
 
Hakuna hata mmoja aliyefika mwezini katika hao.Siku hizo 1969 hata vyombo vya kutua mwezini ilikuwa bado.Viko vilivyoruka mpaka karibu yake na kufanikiwa kupata picha pekee.Vyombo vilivyotua ni miaka ya hivi karibuni.
Yaani wewe unakataa tu bila hata ushahidi?
 
Wakati wenzetu wakihangaika na mwezi, wabongo wameugeuza huu uzi kuwa comedy.
Hahah
 
Na jua linazama kwenye tope jeusi au sio? Alafu hayo mahesabu yalikuwapo kabla ya uislam. 630AD juzi tu.
Siyo matope tu bali jua uzama kwenye milima,kwenye miti,kwenye maji n.k.

Vinginevyo labda maneno haya ya KUCHOMOZA KWA JUA NA KUZAMA KWA JUA (SUNRISE AND SUNSET)myafute katika matumizi ya kuuelezea mfumo wa jua.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Fafanua ulichokusudia kuandika.
 
Back
Top Bottom