Mlete mzungu: Uzi wa picha za mzungu wa Simba kwenye pozi tofauti

Mlete mzungu: Uzi wa picha za mzungu wa Simba kwenye pozi tofauti

Hivi ni nani aliyemtungia wimbo huyu mzungu? Nimesikia wimbo anaimbwa yy
 
Haya mambo nayachukia sana, huko ujerumani n.k mbona hawamnadi sadio mane kwa kutaja "MWAFRIKA" yani utafikiri hakujawahi kuwepo mtu mweupe ndani ya Tanzania na afrika kwa ujumla! mnavyoona shangaa!!

Lakini sioni ajabu, maana hata mtu mweupe akipita mitaani kwako mtamshangaa sana hata kama mnamjua zaidi ya miaka 20 lakini still mtamshangaa tu.

Badilikeni.
Sio mbaya mkuu.....Ni utani wa soka

Lkn mwafrika kum,,bagua mzunguuuuuu......sio kesi

Kesi Ni pale mzunguuuuuu ana mdiscriminate mwafrika[emoji23][emoji23]
 
Hivi ni nani aliyemtungia wimbo huyu mzungu? Nimesikia wimbo anaimbwa yy
Ngoja tu u search YouTube mkuu.....coz mwenyew nasikia kitaa......ila Ni bonge la ngoma

Konde boy atatoa remix
 
Sio mbaya mkuu.....Ni utani wa soka

Lkn mwafrika kum,,bagua mzunguuuuuu......sio kesi

Kesi Ni pale mzunguuuuuu ana mdiscriminate mwafrika[emoji23][emoji23]

Aise, umeona 🤣🤣
Halafu👇🏾
Mwafrika kwa Mwafrika, wakitaniana kima sio ishu ni utani tu, ngoja itokee white amtanie mwafrika "KIMA WEWE" hahhaa huu ni ubaguzi.

Kuitana majina mabaya ni dhambi.
 
Aise, umeona [emoji1787][emoji1787]
Halafu[emoji1484]
Mwafrika kwa Mwafrika, wakitaniana kima sio ishu ni utani tu, ngoja itokee white amtanie mwafrika "KIMA WEWE" hahhaa huu ni ubaguzi.

Kuitana majina mabaya ni dhambi.
Ni sawa kabisa mkuu....refer wale black americans wanaitana niga but hamna anayejali

Sasa ikitokea mzungu akamuita black america nigga......kinaumana[emoji23][emoji23][emoji23]

So its a law governing a nature
 
According to kitenge (2022)
FB_IMG_16611910444972092.jpg
 
Back
Top Bottom