Mlete mzungu: Uzi wa picha za mzungu wa Simba kwenye pozi tofauti

Mlete mzungu: Uzi wa picha za mzungu wa Simba kwenye pozi tofauti


Mwamedi kafurahi huko.[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji338]𝐇𝐞𝐥𝐥𝐨 𝐕𝐮𝐧𝐣𝐚𝐁𝐞𝐢 𝐏𝐞𝐦𝐛𝐞𝐧𝐢 𝐘𝐚 𝐋𝐨𝐠𝐨 𝐏𝐚𝐥𝐞 𝐊𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐉𝐞𝐳𝐢 𝐇𝐮𝐰𝐞𝐳𝐢 𝐔𝐤𝐚𝐨𝐧𝐠𝐞𝐳𝐚 𝐒𝐮𝐫𝐚 𝐘𝐚 𝐌𝐳𝐮𝐧𝐠𝐮
 
Na wewe tunajua una stress maana funguo mpaka sasa hakuna kitu
Mm ni mchambuzi by nature .....lazma tuseme ukweli.....mzungu akifikisha magoli 4 ......nniite tajiri [emoji23][emoji23][emoji23]
 
OKRAH KAFUNGA
MZUNGU KAFUNGA
PHIRI KAFUNGA
OKWA KAFUNGA

KAMBOLE 0
AZIZ K 0
BIGIRIMANA 0
JOYCE 0

Yanga WAMESAJIL LAIN
[emoji1][emoji1][emoji1]

[emoji2773][emoji341]
Hapana mkuu...... Kuhusu kufunga Hilo lisikutishe Sana .... kikubwa nipo hapa mchambuzi acha nikupe madini kidg

Mfumo anaoutumia Prof NABi ni mfumo ambao Ni ngumu kila mtu kunga but mipira mingi watapelekewa kina Mayele .....makambo

Mfumo anaoutumia Zoran....Ni mfumo wa kisasa ( bahatishi) mfumo ambao kila mtu atakufunga . ......

That's y u will never see any player from Simba who will be a top scorer at the end of this season....

Tukirudi kwa mdhungu.....hata goal 5 hatafikisha .....bado hajacheza manungu.....kaitaba....... sokoine......mkwakwani ...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya mambo nayachukia sana, huko ujerumani n.k mbona hawamnadi sadio mane kwa kutaja "MWAFRIKA" yani utafikiri hakujawahi kuwepo mtu mweupe ndani ya Tanzania na afrika kwa ujumla! mnavyoona shangaa!!

Lakini sioni ajabu, maana hata mtu mweupe akipita mitaani kwako mtamshangaa sana hata kama mnamjua zaidi ya miaka 20 lakini still mtamshangaa tu.

Badilikeni.
 
Back
Top Bottom