Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete mzudhuu, mzee uliona asubuhi au Alifajiri yakeNyota njema huonekana asubuhi......
I think wote tumeona asubuh ya mdhunguuu [emoji23][emoji23].....ni very poor
Kwan udhi wako unahusiana na yanga mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MAKOLo bado Sana kumfunga yanga
Na wewe tunajua una stress maana funguo mpaka sasa hakuna kituSasa goal moja .....mmeshaanza kumpa credit.....are u Serious u guys [emoji23][emoji23][emoji23]
Mzunguuuuuu kabahatisha.....
OKRAH KAFUNGAMkuu ...mm sio mshabiki...lkn lazima tuseme ukweli
Mzee......bado hujatambua kuwa mdhunguuu..... kabahatisha [emoji23][emoji23]Lete mzudhuu, mzee uliona asubuhi au Alifajiri yake
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Aaaah hapna mkuu....mm wala siyo shabiki wa yanga.....but nlikuwa najaribu kuchambua .....ubora wa vikosi vyoteKwan udhi wako unahusiana na yanga mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu...... Kuhusu kufunga Hilo lisikutishe Sana .... kikubwa nipo hapa mchambuzi acha nikupe madini kidgOKRAH KAFUNGA
MZUNGU KAFUNGA
PHIRI KAFUNGA
OKWA KAFUNGA
KAMBOLE 0
AZIZ K 0
BIGIRIMANA 0
JOYCE 0
Yanga WAMESAJIL LAIN
[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji2773][emoji341]
kuna uhusiano gani kati ya kufunga na hivyo viwanja?Tukirudi kwa mdhungu.....hata goal 5 hatafikisha .....bado hajacheza manungu.....kaitaba....... sokoine......mkwakwani ...