Mlete mzungu: Uzi wa picha za mzungu wa Simba kwenye pozi tofauti

Mlete mzungu: Uzi wa picha za mzungu wa Simba kwenye pozi tofauti

Mods sio ndugu zako.
Mbona hukemei manara anapoitwa sope, mzungu toleo la mwisho?

Unafki unakusumbua na team lenu.
Moderator hili ni soka hakuna ubaguzi wowote sababu jamaa ni mzungu kweli kwani uongo?

Acheni uzi wa huyo jamaa uendelee
Lete mzunguu [emoji23][emoji23]
MAKOLo wana panic kirahisi sana
 
I'm interested with no #5[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Best teacher is your mistakes

Nazani Simba wamejifunza hapa......baada ya kumsajili mdhunguuu dejani g[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwa mpole ndio kwanza kumepambazuka
 
Lete mdhunguu

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Mlete mdhunguuu
FB_IMG_16605909614872671.jpg
 
Back
Top Bottom