Mlete mzungu: Uzi wa picha za mzungu wa Simba kwenye pozi tofauti

Mlete mzungu: Uzi wa picha za mzungu wa Simba kwenye pozi tofauti

Tena nakumbuka cocastic alikuwa anaweka kila siku picha ya Gael Bigirimana akiwa kwenye chumba chenye makreti ya bia kwa nia ya kumdhihaki, na pia wenzake walianzisha nyuzi za kutosha tu za kumshutumu kuumwa homa ya ini! Sinhi amekataliwa kucheza Ulaya baada ya kukutwa na ugonjwa wa homa ya ini, nk.

Na hapa ni nje ya picha za kumdhalilisha Haji Manara kutokana na ualbino wake, na zile za nyani aliyefanyiwa photoshop na kuwekewa mwiko!!

Ifikie wakati tuache hizi mambo za kusakama wachezaji aisee. Na tukubali tu baadhi ya mashabiki wa simba ndiyo waaanzilishi wakuu wa huu utani wa kuudhi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, sasa kwa Bigirimana ni uongo?? Akati ni kweli alikua ktk kiwanda cha bia, na alitimuliwa kisa wizi, sio picha tyuuh hadi clip akiongea na wafanyakazi wenzake ipo.

Sasa kwa huyu Dejan, si mnaweka dhihaka zisizo na mashiko kujifariji??? Mkichoka mtaacha, ila kwa bigirimana ni kweli.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli kabisa mkuu,bora hata Yanga mashabiki humu wanamsukumo wa kukemea lakini Simba wote walikua wanafurahia picha za matusi na dhihaka kwa Yanga wala hawajali kuwa nyingine ni kinyume na maadili yetu .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan uongo kwa bigirimana???
 
Screenshot_20220817-074037.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, sasa kwa Bigirimana ni uongo?? Akati ni kweli alikua ktk kiwanda cha bia, na alitimuliwa kisa wizi, sio picha tyuuh hadi clip akiongea na wafanyakazi wenzake ipo.

Sasa kwa huyu Dejan, si mnaweka dhihaka zisizo na mashiko kujifariji??? Mkichoka mtaacha, ila kwa bigirimana ni kweli.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuseme tu ukweli..

Kwa mdhungu

Tumepigwa[emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_16606713375056138.jpg
 
Moderator futeni huu uzi na pigeni ban huyu mtu. Huu ni ubaguzi kama ubaguzi mwingine wowote anaoweza kufanyiwa binadamu yoyote kwa lengo la kumdhalilisha.
 
Moderator futeni huu uzi na pigeni ban huyu mtu. Huu ni ubaguzi kama ubaguzi mwingine wowote anaoweza kufanyiwa binadamu yoyote kwa lengo la kumdhalilisha.
Mods sio ndugu zako.
Mbona hukemei manara anapoitwa sope, mzungu toleo la mwisho?

Unafki unakusumbua na team lenu.
Moderator hili ni soka hakuna ubaguzi wowote sababu jamaa ni mzungu kweli kwani uongo?

Acheni uzi wa huyo jamaa uendelee
Lete mzunguu 😂😂
 
Lete mzunguu [emoji23][emoji23]
Lete mdhunguu

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom