Hili liko lembeni mwanga kilimanjaroMdhungu akipiga tizi kwenye daraja la pale TAZARA mbalizi.....mbeya[emoji23][emoji23]View attachment 2324622
ni nani aloyemuambia mdhungu kuruka hivi???Mzungu akiwa India kwa kina kanjibaiView attachment 2324661
Sio mbaya mkuu.....Ni utani wa sokaHaya mambo nayachukia sana, huko ujerumani n.k mbona hawamnadi sadio mane kwa kutaja "MWAFRIKA" yani utafikiri hakujawahi kuwepo mtu mweupe ndani ya Tanzania na afrika kwa ujumla! mnavyoona shangaa!!
Lakini sioni ajabu, maana hata mtu mweupe akipita mitaani kwako mtamshangaa sana hata kama mnamjua zaidi ya miaka 20 lakini still mtamshangaa tu.
Badilikeni.
Sio mbaya mkuu.....Ni utani wa soka
Lkn mwafrika kum,,bagua mzunguuuuuu......sio kesi
Kesi Ni pale mzunguuuuuu ana mdiscriminate mwafrika[emoji23][emoji23]
na akaifunga Yanga kule KigomaUnadhani kwann Simba alimfunga berkane hapa bongo.....lkn alishindwa kumfuga mbeya Cty pale sokoine
Ni sawa kabisa mkuu....refer wale black americans wanaitana niga but hamna anayejaliAise, umeona [emoji1787][emoji1787]
Halafu[emoji1484]
Mwafrika kwa Mwafrika, wakitaniana kima sio ishu ni utani tu, ngoja itokee white amtanie mwafrika "KIMA WEWE" hahhaa huu ni ubaguzi.
Kuitana majina mabaya ni dhambi.
kwa hiyo ishu sio kiwanja 🤣🤣Lkn juzi mayele kawapiga mbili zote
alifunga hata kwenye Uwanja wa Yakubu Gowon, jijini Port Harcourt dhidi ya Rivers?Kiwanja kinachangia......ila kumbuka mayele anafunga viwanja vyote
Labda ndio maana tulitolewa bila kupata hata goli moja mechi zoteMayele hakuwa sehemu ya kikosi kile mkuu
Aziz Ki alikuwa ASEC na ikamaliza chini ya Simba, na haijawahi kumaliza juu ya SimbaYaaah mzee.....angekuwepo mayele....+ Azizi ki....now TZ tungekuwa tunasherekea ubingwa wa CAF