Mlete mzungu: Uzi wa picha za mzungu wa Simba kwenye pozi tofauti

Duuh wamemuweka mzee na kibamia kabisa[emoji23]
 
Sure. Mm sipo ktk kumponda kabisa..ila sasa naona its too much ,,nonsense
Kwa kweli inasikitisha .....kama umefutilia video za kitenge pale studio kwao....uta mind kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Leo alitengeneza Hadi igizo la mdhunguuu
 
hahahaha, naona kingereza linazidi kutanuka, sijui ndo anamaanisha "Unyanyasaji/unyanyapaa"
Mbna manara wananyanyapaa.....

Refer to Simba day.....Kuna mtu alifungwa kamba
 
Kwa kweli inasikitisha .....kama umefutilia video za kitenge pale studio kwao....uta mind kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Leo alitengeneza Hadi igizo la mdhunguuu
Huyo nae anazeeka vibaya. Wala sisikilizagi hyo redio wala tv yao wako bias
 
Ndo nimemtumia pic huyo jamaa anayedai hizo picha za editing ni bullying hili aone level ya kitu kuwa bullying inakiuwaje halafu watu wenye akili zao timamu hawakupiga kelele wala nini maisha yanandelea kama kawaida
 
Daaaaah Hawa jamaa democracy yao ....Ni Next level
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…